Hawa WanaJF wangekuwa timu zilizoshiriki Kombe la Dunia 2018 nadhani wangekuwa timu hizi

Hawa WanaJF wangekuwa timu zilizoshiriki Kombe la Dunia 2018 nadhani wangekuwa timu hizi

Nchi nzima ya Peru ilithibitisha kua timu yao ilifuzu kwa nguvu za waganga wa kienyeji so nadhani itakua heshima kwa Mh Mshana akiwa timu ya Peru sio Croatia
Usimfananishe mme wangu na peru mme wangu crotia anacheza mpira kwa kipaji
 
Kumbe tusiojulikana tunatengwa?

Basi mimi babu yenu kwenye World Cup nipo team Simba Sports Club

Kichuya hoyee
Hahahahha babu shikamoo nilikumiss hivi naanzaje kumsahau babu wa jf
 
Kwamba nimekuchoka?

Akili za kuambiwa changanya na zako...

Afu umeanza lini tabia ya kunichungulia bafuni?
Hahahah babu wewe kiboko ya maneno unanishinda tabia
 
Back
Top Bottom