Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Nini karanga, kwa Kiranga utacheza mpaka charanga na ananga-ranga.Ewaaaaah wala hujakosea mara ya kwanza nilizan kiranga -karanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini karanga, kwa Kiranga utacheza mpaka charanga na ananga-ranga.Ewaaaaah wala hujakosea mara ya kwanza nilizan kiranga -karanga
Kumbeee mjini mipango nitafutie mchawi wa kike huko tuyajenge na mimi yota yangu ingaee kama juaNiliolewa na mchawi nikapewa hirizi ya kung'arisha nyotaa
Nyie mshaambiwa ni mashabiki mnaoangalia live uwanjani au unaangaliamkwenye tv kwako sisi ni wale tupo uwanjani mnatuangaliaAngalau wote tuwe urusi[emoji2]
Naomba utuachie GentaAnazinguaaa
UmeanzaasHahahah [emoji2][emoji2]hatar naenjoy sana comment zakooo
Hivyo hivyo tu kuwa kibenten nimezoea sanaWoteee wazeee
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Utakufwaaa kifuani
Hahaahahahahkwahiyo mimi sio member wa jf, au!
maana sijioni kwenye list yako.
Ahahahahahahahahah mnaniua mbavuSo tusiokuwamo hatujulikani kaah![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]tutake radhi!
sawaaa sasaaa......Hahahaha nimeshakaa