Hawa wanaume hatujawajulia tu

Kuna neno nikitamkiwa na Mwanamke Mwenzako.... I see... Nitakufa nalo lile neno nimeMove on... Kwake yamebaki Majuto tu!
 
Dada inabidi utibiwe bure hospital zote
 
to yeye
 
Huyu dada apewe ulinzi wa kikosi cha PSU.
 
mtu aweza kudharau ulivyoandika kama masihala lakini kuna ukweli hapo.
 
Kawaida kama hakuwa wako lazima aende tu mkuu
Daaa!! wewe MKuu nimekupenda bure sasa fanya hivi kiti moto kinapanda nenda paleeee Msimbazi Mwaambie john wa mlango wa tatu kutokea Ilala flat wakupe kiti moto kilo saba ntapitia jioni hapo kulipa........

km hutojali nisubiri...hapo kwenye kamti.........karefu
 
Ili unipige miti vizuri🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…