Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Upendo wenyewe umepoa siku hizi ndio maana misiba ya siku hizi watu hawaliagi tena!
Ndo kwanza wanapaka meckups [emoji108]
Ndo kwanza wanapaka meckups [emoji108]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huku wengine wanakwambia " chukua sim yangu nikifika kwenye jeneza nitajidai kuinama kukumbatia marehemu unipige picha nije nipost Insta"Upendo umepoa ndio maana misiba ya siku hizi watu hawaliagi tena!
Ndo kwanza wanapaka meckups [emoji108]
Mwenza wako au danga tuu!huku wengine wanakwambia " chukua sim yangu nikifika kwenye jeneza nitajidai kuinama kukumbatia marehemu unipige picha nije nipost Insta"
Hawana jemaTatizo wanaangaika mno😏
Mwanaume akiwa gana pesa hata kuvaa vizuri hataki, na nguvu za kiume zinaisha kabisa ndugu.🤣🤣🤣🤣🚴🚴🚴
😂😂Najitolea mifuko kumi ya cement kwa ajili ya sanamu lako. Nawasilisha