Hawa wanaume hatujawajulia tu

Wosia wa Dada😁😂
Dada una karibia kufa, msiba utakuwa wapi ?
 
Umenena vyema sana mkuu,ubarikiwe Sana,Kwa ke kudhani Kua papuchi nikitu cha maana Sana kiasi cha kumbania mmewe au mpenzi wake nikitu cha hatari ,me wanajitoa snaa Kwa ke nawanafanya alot kuwafurahisha ke, kmaa ulivyoainisha hapo alot of legacies ikiwemo risk mbalimbali halafu uje umringishie na papuchi Tu,ndio chanzo kikuu cha kuchepuka Kwa ke wanaojielewa Kama Akina to yeye,fikiria mmmeo akutane na mwanamke mwenye caliber za Akina to yeye.ndoa lazima iwe mashakani.
 
Embu tujaribu mbinu hii, kuwapea game sehemu yoyote, I mean sebuleni, chumbani , jikoni, kwenye gari, bafuni... yaan popote. Hata mkitoka mkienda porini kutembelea mashamba yenu ... shikilia mti benua mti apige kimoja Cha faster. Kama
Binadamu haridhiki hata siku moja...utamfanyia yote hayo, hataridhika! mwisho atakuomba umpatie TIGO yako...utampa!? Haya mambo hayanaga fundi. Fundi ni Mungu tu.

Zaburi 127:1
BWANA asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure.
 
❤️
 
Waambie waelewe, maana saa 7 mchana unamwambia mama unipe kile kidudu nikifanyie kazi. Atakujibu mchana wote huu haiwezekani. Mara nimetingwa na kazi, wakati hizo kazi zipo kila siku.

Ninachokifanya namtumia text kahaba mmoja tukutane kona Y namwaga halafu jioni kila mmoja alale. Jinga kabisa.
 
Sasa hapo anakuwa ameingiza maradhi mwenyewe
 
Lakini humchekewesha kwenda coz ameshatumika.
 
Iko namna bora kabisa kumrejesha kwenye mood.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…