Hawa Waongo Kumbe Vijijini Mwao Hamna Stima

Hawa Waongo Kumbe Vijijini Mwao Hamna Stima

Na hizi kelele zote kumbe wanaishi gizani?😀😀😀
Hahahahahahahahahahahahaha, mnatapata kila point mnayopata mnadhani itawasaidia, 70% ya watanzania wana umeme, maana yake 30% haina umeme, kijiji changu kipo ndani ya 30%.

Sasa hili ni jambo la kulifungulia thread yake?, hamuwezi kupambanana Tanzania, mnapanic na kila point mnadhani inaweza kuwasaidia kama silaa. HAPA KAZI TU.
Kenya ranked as 'failed state'
 
Kama wewe hauna stima nyanyako apate wapi stima? Tafuteni wa kudanganya.😀😀😀
 
Tanzania nisheria kuwa nyumba ya nyasi haiwekewi umeme. Ona wazee wa Maendeleo Chap Chap
IMG_20180509_153555.jpg
 
we jua tu nje ya Darisalam fishing village ni misitu na wanyama pori tu...hakuna mendeleo ya aina yoyote...Bongolala karibia 50 million wanaishi gizanina wanyama pori
 
Tanzania nisheria kuwa nyumba ya nyasi haiwekewi umeme. Ona wazee wa Maendeleo Chap ChapView attachment 771968
Hahaha. 😀 Hizo sheria za kishamba mliachiwa na mjerumani? Hamjui kutumia nyaya ambazo zipo 'insulated' kama hizo kwenye picha? Hizo sio zile nyaya 'uchi' za kawaida. 🙂 Kwa hivyo masikini hana haki ya kuunganishiwa umeme? [emoji15]
 
Halafu msitumie neno stima kila ambapo mnapomaanisha umeme wa gridi. Nilifanya kazi na Wakenya, nilipata shida kuelewa stima wao wanamaanisha nini. Yaani hata hydro-energy wanaita stima, ili mradi inatolewa na power supply authority!
 
Hahaha. 😀 Hizo sheria za kishamba mliachiwa na mjerumani? Hamjui kutumia nyaya ambazo zipo 'insulated' kama hizo kwenye picha? Hizo sio zile nyaya 'uchi' za kawaida. 🙂 Kwa hivyo masikini hana haki ya kuunganishiwa umeme? [emoji15]
Maendeleo Chap Chap. 😀 Hivi huyu engineer alisomea wapi kupigilia bati kwenye mbao za kuezekea nyasi ? 😀 Kenyans yo amaze me ! Pili nyumba za nyasi upitisha maji yanayoweza sababisha shoti pamoja na unyevunyevu. Ulisomea wapi science ?? 😀😀
IMG_20180510_093941.jpg
 
mjinga anajivunia sheria za kipumbavu....anadhani ni suala nzuri kutowawekea maskini stima kisa wanaishi ndani ya nyumba za nyasi...miafrika lakini😀😀hivi hizi akili zetu zina nini?
 
Maendeleo Chap Chap. 😀 Hivi huyu engineer alisomea wapi kupigilia bati kwenye mbao za kuezekea nyasi ? 😀 Kenyans yo amaze me ! Pili nyumba za nyasi upitisha maji yanayoweza sababisha shoti pamoja na unyevunyevu. Ulisomea wapi science ?? 😀😀View attachment 772091
Sikuelewi wala sielewi hizi picha zako bana . Maendeleo chap chap ni chama cha gavana wa Machakos County, Dr. Alfred Mutua. Tangu upost picha zako hapa Jf ni kama nati zilidondoka, dish likayumba. Maskini wa Mungu. 😀
 
Back
Top Bottom