Hawa Waongo Kumbe Vijijini Mwao Hamna Stima

Asante kwa kudhibitisha ujinga wako.😀😀😀
Wewe ndio mjinga mara kumi zaidi, kwahiyo kwasababu Kisumu kuna tatizo la taa kuwaka, hiyo unataka kusema Kenya nzima ni hivyo?, acheni kupanic ili tuwe na healthy discussion hapa JF
 
Wewe nenda kawekee wanakijiji wenzako stima. Unashinda humu ukipiga mayowe kumbe kwenu ni balaa. Nimeambiwa huko nyumba za nyasi hazina stima. Naona kama wewe unaishi nyumba ya nyasi.
 
Mamako huyo.....msaidie jameni.😀😀😀
blog_2017_07_18-1.jpg
 
Wewe nenda kawekee wanakijiji wenzako stima. Unashinda humu ukipiga mayowe kumbe kwenu ni balaa. Nimeambiwa huko nyumba za nyasi hazina stima. Naona kama wewe unaishi nyumba ya nyasi.
Maendeleo Chap Chap !! 😱😱😀
Check out @AbiJagun’s Tweet:
 
Wewe nenda kawekee wanakijiji wenzako stima. Unashinda humu ukipiga mayowe kumbe kwenu ni balaa. Nimeambiwa huko nyumba za nyasi hazina stima. Naona kama wewe unaishi nyumba ya nyasi.
Yes, ninaishi nyumba ya nyasi lakini nina chakula cha kutosha, maji safi na salama, choo nzuri, ardhi kwa ajili ya kilimo na mifugo, usala na amani, na hatubaguani kwa makabila yetu.
 
Umesahau kusema hauna stima.😀😀😀😀
 
Okay nakupatia ya 2018😀😀
Maendeleo Chap Chap😀😀
Check out @Edsimiyu’s Tweet:

Which organisation or government is called Edward Simiyu, only fools believe anything they see on the internet.
 
Back
Top Bottom