Hawa Waongo Kumbe Vijijini Mwao Hamna Stima

Hawa Waongo Kumbe Vijijini Mwao Hamna Stima

Street lights pale Lodwar.
Solar-powered-street-lights-came-in-handy-as-power-outage-hit-Lodwar-town.-2JPG.jpg

Bomet street lights

DFAc2_KXUAA9FEw.jpg

Mombasa street lights

DFA-JWmXYAAKg6I.jpg

Eldoret kapsoya estate and environs

DSC_0687.jpg

Garissa

CjR8XToWYAE7H_H.jpg

Kisumu
DS9wzPSW4AA64Xe.jpg
 
Njia ya muongo ni fupi na hapa kilaza alijichanganya now He will try to save face. Only 30% of Tanzagizans have access to electricity.
Mimi naona hata ni less. Kama kijiji kizima hakina stima.😀😀😀
 
Halafu msitumie neno stima kila ambapo mnapomaanisha umeme wa gridi. Nilifanya kazi na Wakenya, nilipata shida kuelewa stima wao wanamaanisha nini. Yaani hata hydro-energy wanaita stima, ili mradi inatolewa na power supply authority!
Stima ni neno la Kiswahili. Msitulazimishe tuongee lahaja yenu maana sisi hatumlazimishi kuongea yetu.
Halafu kila zuzu humu mbongo hudai eti amefanya kazi na Wakenya. Be creative. Say something new.😀😀😀😀
 
mjinga anajivunia sheria za kipumbavu....anadhani ni suala nzuri kutowawekea maskini stima kisa wanaishi ndani ya nyumba za nyasi...miafrika lakini😀😀hivi hizi akili zetu zina nini?
Ndio maana watabaki LDC.😀😀😀😀
 
kaka kwa ukongwe wako hapa jf sikutegemea kama utaanzisha thread ya kijinga kama hii.

thread kama hizi acha waanzishe watoto kama akina kolomzii,sio wewe buda.

haki nimekudharau sana.
Huu sio uzi wa kijinga. Ujinga ni kushinda ukipost screenshots za twitter kila mara na kufunya udharauliwe. Huu ni uzi wa kuelimisha maanake aliyesema Kijijini mwao hakuna stime ndiye aliye kipaumbele kutudanganya eti 70% of Tanzania is connect. This thread exposes hypocrisy.
 
Maendeleo Chap Chap ! 😀😀 Check out @GMONEYizME’s Tweet:
 
Huu sio uzi wa kijinga. Ujinga ni kushinda ukipost screenshots za twitter kila mara na kufunya udharauliwe. Huu ni uzi wa kuelimisha maanake aliyesema Kijijini mwao hakuna stime ndiye aliye kipaumbele kutudanganya eti 70% of Tanzania is connect. This thread exposes hypocrisy.
😀😀 Check out @GMONEYizME’s Tweet:
 
Huu sio uzi wa kijinga. Ujinga ni kushinda ukipost screenshots za twitter kila mara na kufunya udharauliwe. Huu ni uzi wa kuelimisha maanake aliyesema Kijijini mwao hakuna stime ndiye aliye kipaumbele kutudanganya eti 70% of Tanzania is connect. This thread exposes hypocrisy.
Sasa huoni kwamba na wewe ni miongoni mwa wajinga, ina maana kijiji kimoja ndio Tanzania nzima?. Tatizo ni kwamba mumezidiwa sana, kwahiyo mnatafuta kila aina ya kipuuzi ili kujitetea. Ukweli ni kwamba 70% ya Tanzania ina umeme, 30% kikiwemo kijijini kwangu bado hawajaunganishiwa umeme, tatizo lipo wapi ninyi failed state?
Kenya ranked as 'failed state'
 
Back
Top Bottom