Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hii ya Selous iko na stima?😀😀😀Ile airport ya nyasi Garissa ina stima? Madhara ya ubaya wa ku-cook data halafu unajipata ipo sawa na Tanzania!
Hivi unamaanisha joto la jiwe Anaishi nyumba ya nyasi?😀😀😀 Ndio maana tunaambia huku kwetu connection ni 71% na access inakaribia 100%. Hata nyumba ya nyasi ina stima.😀Tanzania nisheria kuwa nyumba ya nyasi haiwekewi umeme. Ona wazee wa Maendeleo Chap ChapView attachment 771968
Mimi naona hata ni less. Kama kijiji kizima hakina stima.😀😀😀Njia ya muongo ni fupi na hapa kilaza alijichanganya now He will try to save face. Only 30% of Tanzagizans have access to electricity.
Stima ni neno la Kiswahili. Msitulazimishe tuongee lahaja yenu maana sisi hatumlazimishi kuongea yetu.Halafu msitumie neno stima kila ambapo mnapomaanisha umeme wa gridi. Nilifanya kazi na Wakenya, nilipata shida kuelewa stima wao wanamaanisha nini. Yaani hata hydro-energy wanaita stima, ili mradi inatolewa na power supply authority!
Kinyesi kinangoja the first cargo bullet train in the world imalizike.😀😀😀Na hii kinyesi wanasemaga kila siku haijawai kua
Ndio maana watabaki LDC.😀😀😀😀mjinga anajivunia sheria za kipumbavu....anadhani ni suala nzuri kutowawekea maskini stima kisa wanaishi ndani ya nyumba za nyasi...miafrika lakini😀😀hivi hizi akili zetu zina nini?
kaka kwa ukongwe wako hapa jf sikutegemea kama utaanzisha thread ya kijinga kama hii.Na hizi kelele zote kumbe wanaishi gizani?😀😀😀
Huu sio uzi wa kijinga. Ujinga ni kushinda ukipost screenshots za twitter kila mara na kufunya udharauliwe. Huu ni uzi wa kuelimisha maanake aliyesema Kijijini mwao hakuna stime ndiye aliye kipaumbele kutudanganya eti 70% of Tanzania is connect. This thread exposes hypocrisy.kaka kwa ukongwe wako hapa jf sikutegemea kama utaanzisha thread ya kijinga kama hii.
thread kama hizi acha waanzishe watoto kama akina kolomzii,sio wewe buda.
haki nimekudharau sana.
Kama ambavyo Kenya kamwe haiwezi kutoka katika kundi la failed stateNdio maana watabaki LDC.😀😀😀😀
Huyu ni failure number moja humu JF. Bora ya Collo thread zake unaweza pata minofu kidogo. Jamaa nikama ka panic.kaka kwa ukongwe wako hapa jf sikutegemea kama utaanzisha thread ya kijinga kama hii.
thread kama hizi acha waanzishe watoto kama akina kolomzii,sio wewe buda.
haki nimekudharau sana.
😀😀 Check out @GMONEYizME’s Tweet:Huu sio uzi wa kijinga. Ujinga ni kushinda ukipost screenshots za twitter kila mara na kufunya udharauliwe. Huu ni uzi wa kuelimisha maanake aliyesema Kijijini mwao hakuna stime ndiye aliye kipaumbele kutudanganya eti 70% of Tanzania is connect. This thread exposes hypocrisy.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huu sio uzi wa kijinga. Ujinga ni kushinda ukipost screenshots za twitter
Sasa huoni kwamba na wewe ni miongoni mwa wajinga, ina maana kijiji kimoja ndio Tanzania nzima?. Tatizo ni kwamba mumezidiwa sana, kwahiyo mnatafuta kila aina ya kipuuzi ili kujitetea. Ukweli ni kwamba 70% ya Tanzania ina umeme, 30% kikiwemo kijijini kwangu bado hawajaunganishiwa umeme, tatizo lipo wapi ninyi failed state?Huu sio uzi wa kijinga. Ujinga ni kushinda ukipost screenshots za twitter kila mara na kufunya udharauliwe. Huu ni uzi wa kuelimisha maanake aliyesema Kijijini mwao hakuna stime ndiye aliye kipaumbele kutudanganya eti 70% of Tanzania is connect. This thread exposes hypocrisy.
kapaniki sana.... kisu cha ngariba kimemuingia mahala pake. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu ni failure number moja humu JF. Bora ya Collo thread zake unaweza pata minofu kidogo. Jamaa nikama ka panic.
Asante kwa kudhibitisha ujinga wako.😀😀😀[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 772134
Maendeleo Chap Chap !!! 😀😀Hola town
![]()
Mandera town
![]()
Maendeleo Chap Chap !! 😀Asante kwa kudhibitisha ujinga wako.😀😀😀