ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 79,360
- 154,913
kinyerezi twoNa hii kinyesi wanasemaga kila siku haijawai kua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kinyerezi twoNa hii kinyesi wanasemaga kila siku haijawai kua
atakuwa ni yule shoga wa kimombasa. [emoji23] [emoji23]Engineer boya humu JF ni mmoja tu 😀
Kilio !! 😀😀 Trending in KenyaTweet ya january hii, stima zilirudi. Nyinyi kwenu bado mpango ni wa candle, kwanza umepeleka battery yako ikue charged au leo hutaona magufuli kwa TV.
Kwa taarifa yako tuko na traffic lights hadi vijijini😀😀Bungoma county, sisi tunajua maendeleo hatujui propaganda, kama munajiamini onesheni kwenu.
![]()
Traffic lights ya kucontrol kondoo na mbuzi nyinyi ni watu wa midomo tu vitendo hamna.Kwa taarifa yako tuko na traffic lights hadi vijijini😀😀 View attachment 772202 View attachment 772203
nasubiria na mm maana selous ni pori hawaishi watu sasa ngoja atueleze ni selou gani😀😀😀😀Akikupa evidence ni tag😀😀
hebu leta ushahidi kua hapo turkana😀😀😀Turkana wind energy project.
![]()
Siwezi panic mimi nakuletea facts after facts. Kenya mzima tumeiwasha proper.
Kuna kipindi tunawaachia tuone akili zenu zinapoishia kufikili😀😀 Mtanzania sio mtu wakucheza nae😀😀Bungoma county, sisi tunajua maendeleo hatujui propaganda, kama munajiamini onesheni kwenu.
![]()
Kumbe hujui turkana wind project, usijali utajua tu.hebu leta ushahidi kua hapo turkana😀😀😀
Toa kilio tu ! 😀😀 Jipange humu sio Naira land😀😀Traffic lights ya kucontrol kondoo na mbuzi nyinyi ni watu wa midomo tu vitendo hamna.