NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Kijijini kwetu, almost all people have mobile phones and they charge them, but there is nor electricity.
Hahahahahahahahahahahahaha, mnatapata kila point mnayopata mnadhani itawasaidia, 70% ya watanzania wana umeme, maana yake 30% haina umeme, kijiji changu kipo ndani ya 30%.Na hizi kelele zote kumbe wanaishi gizani?πππ
Hahahahahahahahahahahahaha, mnatapata kila point mnayopata mnadhani itawasaidia, 70% ya watanzania wana umeme, maana yake 30% haina umeme, kijiji changu kipo ndani ya 30%.
Sasa hili ni jambo la kulifungulia thread yake?, hamuwezi kupambanana Tanzania, mnapanic na kila point mnadhani inaweza kuwasaidia kama silaa. HAPA KAZI TU.
Kenya ranked as 'failed state'
Njia ya muongo ni fupi na hapa kilaza alijichanganya now He will try to save face. Only 30% of Tanzagizans have access to electricity.Na hizi kelele zote kumbe wanaishi gizani?πππ
Ile airport ya nyasi Garissa ina stima? Madhara ya ubaya wa ku-cook data halafu unajipata ipo sawa na Tanzania!Na hizi kelele zote kumbe wanaishi gizani?πππ
Hahaha. π Hizo sheria za kishamba mliachiwa na mjerumani? Hamjui kutumia nyaya ambazo zipo 'insulated' kama hizo kwenye picha? Hizo sio zile nyaya 'uchi' za kawaida. π Kwa hivyo masikini hana haki ya kuunganishiwa umeme? [emoji15]Tanzania nisheria kuwa nyumba ya nyasi haiwekewi umeme. Ona wazee wa Maendeleo Chap ChapView attachment 771968
Maendeleo Chap Chap. π Hivi huyu engineer alisomea wapi kupigilia bati kwenye mbao za kuezekea nyasi ? π Kenyans yo amaze me ! Pili nyumba za nyasi upitisha maji yanayoweza sababisha shoti pamoja na unyevunyevu. Ulisomea wapi science ?? ππHahaha. π Hizo sheria za kishamba mliachiwa na mjerumani? Hamjui kutumia nyaya ambazo zipo 'insulated' kama hizo kwenye picha? Hizo sio zile nyaya 'uchi' za kawaida. π Kwa hivyo masikini hana haki ya kuunganishiwa umeme? [emoji15]
Hahahahahahahahahahahaha, and only seven countries in the world have attained failed state status, congratulationNjia ya muongo ni fupi na hapa kilaza alijichanganya now He will try to save face. Only 30% of Tanzagizans have access to electricity.
Cooking, cooking, cooking everything hilo ndilo jamba wanalolijua na kuliweza wakenya, hii inawezekana ni kwasababu hawana chakula cha kutosha cha kupika, badala yake wamehamishia kupika data na taarifa mbalimbali.Hamna ukweli hapa, Jubilee cooks data
Lying to the President: How Kenya Power managers cooked Last Mile connection figures
Engineer boya humu JF ni mmoja tu πMaendeleo Chap Chap. π Hivi huyu engineer alisomea wapi kupigilia bati kwenye mbao za kuezekea nyasi ? π Kenyans yo amaze me ! Pili nyumba za nyasi upitisha maji yanayoweza sababisha shoti pamoja na unyevunyevu. Ulisomea wapi science ?? ππView attachment 772091
Sikuelewi wala sielewi hizi picha zako bana . Maendeleo chap chap ni chama cha gavana wa Machakos County, Dr. Alfred Mutua. Tangu upost picha zako hapa Jf ni kama nati zilidondoka, dish likayumba. Maskini wa Mungu. πMaendeleo Chap Chap. π Hivi huyu engineer alisomea wapi kupigilia bati kwenye mbao za kuezekea nyasi ? π Kenyans yo amaze me ! Pili nyumba za nyasi upitisha maji yanayoweza sababisha shoti pamoja na unyevunyevu. Ulisomea wapi science ?? ππView attachment 772091
Kenyesi itaimbwa kama Bagamoyo, pipeline na SGR.Na hii kinyesi wanasemaga kila siku haijawai kua