Kamata mwizi😀😀 Wanajua humu ni Naira land😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamata mwizi😀😀 Wanajua humu ni Naira land😀😀
hio picha sio turkana usitudanganye turkana ni jangwa na hio pic niliokuekea ndio turkana wind project😀😀Kumbe hujui turkana wind project, usijali utajua tu.
anatuekea picha sijui ya wapi ina ardhi nzuri wakat turakana ni jangwa 😀😀😀Kamata mwizi😀😀 Wanajua humu ni Naira land😀😀
nazungumzia picha ulioiweka sio turkana usijifanye hujanielewa😀😀😀😀 eka picha halisi ya turkana
tumalize kwanza ile pic ulioiweka sio turkana alaf tuendelee sasaTuingie Kilifi sasa.![]()
hahaha nafurahia sana nikiona huamini, umeona kama ni ng'ambo hapo ni turkana in Kenya.tumalize kwanza ile pic ulioiweka sio turkana alaf tuendelee sasa
leta ushahidi kua ile pic ni turkana😀😀😀😀hahaha nafurahia sana nikiona huamini, umeona kama ni ng'ambo hapo ni turkana in Kenya.
Documentary ndo hio, 365 wind turbines, the biggest wind farm in Africa.leta ushahidi kua ile pic ni turkana😀😀😀😀
wewe ulitoka battle lini ama hakubambi tenaleta ushahidi kua ile pic ni turkana😀😀😀😀
Wewe umeleta ushahidi kuprove hapa ni Garissa Airstrip?ushahidi????😀😀😀😀😀😀
Wewe Kijana wa choo kazi yako kuitisha ushahidi na huna chenye unaelewa. Sawa, hapo ni Manzese. Umefurahi sasa? Malenge.😀😀😀
soma maelezo unapost mwenyewe na ushahidi unao mwenyewe 😀😀😀Wewe umeleta ushahidi kuprove hapa ni Garissa Airstrip?
![]()
kwenye ukweli tuseme turakana ni jangwa alaf anaweka picha ambayo haioneshe kua ni jangwa alaf tukae kushangilia uongo tu😀😀😀😀Wewe Kijana wa choo kazi yako kuitisha ushahidi na huna chenye unaelewa. Sawa, hapo ni Manzese. Umefurahi sasa? Malenge.😀😀😀
Wewe ndo unajidanganya, unajua 365 wind turbines ni ngapi au unaropokwa tu? rudi kwa picha uhesabu ni ngapi unaona.siku nyingine usidanganye 😀😀😀😀