Hawa Waongo Kumbe Vijijini Mwao Hamna Stima

Hawa Waongo Kumbe Vijijini Mwao Hamna Stima

Wewe ndo unajidanganya, unajua 365 wind turbines ni ngapi au unaropokwa tu? rudi kwa picha uhesabu ni ngapi unaona.
narudia ile picha haiwezi kua turkana, turkana ni jangwa eneo lake ni jangwa elewa kiswahili
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
IMG_20180510_134942.jpg
 
tafuta picha halisi za turakana ulete hapa usitufanye sisi watoto wadogo sana😀😀😀😀
kumbe inakuwasha hivyo ndo kwa maana ulipost hako ka wind farm kenu kadogo. The biggest in Africa iko Turkana upinge ukojoe taarifa umeipata.
 
kumbe inakuwasha hivyo ndo kwa maana ulipost hako ka wind farm kenu kadogo. The biggest in Africa iko Turkana upinge ukojoe taarifa umeipata.
tatizo picha ile sio turkana na turkana ni jangwa kabisa kabisa😀😀😀😀😀😀😀
 
Usituonyeshe planned projects babaa. We are talking about the current situation. Your brother joto la jiwe anaumia na koroboi.😀😀😀
20160227_IRP001_0.jpg
 
Back
Top Bottom