Uchaguzi 2020 Hawa Wapinzani hawarudi Bungeni hata iweje

Uchaguzi 2020 Hawa Wapinzani hawarudi Bungeni hata iweje

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
A wao wanajua ila wanataka kutumia Kampeni kujikusanyia pesa za mafao. Kiuhalisia ni wanasiasa makanjanja maana wanafahamu hawatarudi Bungeni na bado wanataka kugombea Urais na Ubunge.
1. F. Mbowe
2. J. Mbilinyi Sugu
3. G. Lema
4. Z. Kabwe
5. H. Mdee
6. E. Bulaya
7. J. Mnyika
8. Mch. Msigwa
9. Mkosamali (atakuwa MkosaUbunge)
10. xxxxxxxxxx


Hawa hawatarudi Bungeni isipokuwa wawili ktk hao kwa makusudi maalum kama watakubali masharti watarudishwa Bungeni. Mpaka sasa haina uhakika. Ila wapo kwenye list ya kutokurudi Bungeni.

Uchaguzi 2020 utakuwa na mambo mambo yake ambayo wenye akili tunayafahamu. Hatutaruhusu watu wasio na mwelekeo kuongoza tena maeneo yetu.
 
Yaani wewe umeandika kama vile nchi hii ni mali ya mjomba yako..angalia maneno matatu ya mwisho uyatafakar vzr...Imefika pahala mtu annaandika kama nchi ni kumiliki kuku au ng'ombe wake.

Nchi hii inahtaji kugawana mkate kama jamii ya watu wa Taifa moja..mnaposema hawatarudi mnatumia maneno ya kitoto. Semeni ninyi mnaenda kushinda na mtupe sababu ni kwnn mtashinda..na wao hawatashinda "assuming that no vyombo vya dola "!!!
 
Umesema wawili Kati yao wakikubali masharti watarudi bungeni, ninani mtoa masharti anayeamua yup awe mbunge?

Kama nikweli hakuna demokrasia Wala uchaguzi ulio huru na Hali, wananchi ndio wenye mamlaka ya kuamua nani awe kiongozi wao kwa kupitia sanduku la kura.
 
Weka akiba ya maneno, October si mbali. Andaeni tu NECfisiem na Polisisiem kuhujumu uchaguzi. Msifikiri tumesahau ya November 2019 kwenye uchaguzi wa TAMISEMI jinsi mlivyoiba mchakato mzima; na tunajua huo ndo mpango wenu.
 
Watanzania tumefanya kosa kubwa sana kumuacha mtu mmoja afanye atakalo nchini.
Atachokiamua yeye kinakuwa.
This kind of rubbish must be ended now
Hata members wenzake wa SISIEMU hawamkubali ndio maana hataki hata mtu wa kuzuga kuchukua form maana CC haiamini wanaweza wakamchinjia baharini wamteue garasa!! Ndio maana Bashiru kasema wazi inakuwaje ZNZ wanachukua form wagombea wengi wakati chama ni Kimoja? Sasa unategemea mtu kama huyu ampe form mwanachama mwingine aje kupambana na GUMALIFU?
 
.
1592575.jpg
 
Zitto akirudi itadhihirisha nadharia zilizokuwepo.
Hao wengine sijui kwanini hadi sasa hivi wapo TZ.
 
Watanzania tumefanya kosa kubwa sana kumuacha mtu mmoja afanye atakalo nchini.
Atachokiamua yeye kinakuwa.
This kind of rubbish must be ended now
Would you please tell us how we can end it.
 
Bila shaka kutokurudi kwao kutakuongezea kipato na kubadili maisha yako.
 
Mdee atarudi Bungen panapo uhai pamoja na Bulaya, tuombe uzima tu
 
Back
Top Bottom