Uchaguzi 2020 Hawa Wapinzani hawarudi Bungeni hata iweje

Uchaguzi 2020 Hawa Wapinzani hawarudi Bungeni hata iweje

Kibaya zaidi na wewe ukiwemo Kati hao wajinga na mang'ombe. This is more than pain[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Siishi na mang'ombe Ila natokea taifa lenye mang'ombe kama ww
 
Kwa udikteta wa jiwe inawezekana lakini sio kwa demokrasia.
 
Labda kwa nchi yenu ya kusadikika inayoongozwa na mfalme wa kusadikika ila sio Tz hii.
 
Kwa hiyo wasipoludi Bungeni, matatizo na shida mlizonazo kwenye familia yenu zitakuwa zimeisha?
 

Mzee JK ulijua kutuachia mrithi
 
Umesema wawili Kati yao wakikubali masharti watarudi bungeni, ninani mtoa masharti anayeamua yup awe mbunge?

Kama nikweli hakuna demokrasia Wala uchaguzi ulio huru na Hali, wananchi ndio wenye mamlaka ya kuamua nani awe kiongozi wao kwa kupitia sanduku la kura.
Inavyoonekana mwaka huu uchaguzi utakuwa tofauti sana. Siyo kura ya mwananchi inayokwenda kuamua mani awe kiongozi/wabuge wao, bali ni masharti maalum. Na hayo masharti kuna vyama tayari vimeshakubaliana nayo.
 
Weka akiba ya maneno, October si mbali. Andaeni tu NECfisiem na Polisisiem kuhujumu uchaguzi. Msifikiri tumesahau ya November 2019 kwenye uchaguzi wa TAMISEMI jinsi mlivyoiba mchakato mzima; na tunajua huo ndo mpango wenu.
Mkuu ni kweli huo ndio mpango wao, sasa nani wa kuwazuia kukamilisha/kuteleleza huo mpango?

Kama ulivyosema wana NECfisiem, wana Polisifisiem, hapo nani wa kuwazuia? Mshindi atatangazwa kwa usimamizi wa polisi,, nafikiri hujasahau alichofanya Jecha 2015 huko Zenji. Alitangaza kufuta uchaguzi chini ya ulinzi mkali.
 
A wao wanajua ila wanataka kutumia Kampeni kujikusanyia pesa za mafao. Kiuhalisia ni wanasiasa makanjanja maana wanafahamu hawatarudi Bungeni na bado wanataka kugombea Urais na Ubunge.
1. F. Mbowe
2. J. Mbilinyi Sugu
3. G. Lema
4. Z. Kabwe
5. H. Mdee
6. E. Bulaya
7. J. Mnyika
8. Mch. Msigwa
9. Mkosamali (atakuwa MkosaUbunge)
10. xxxxxxxxxx


Hawa hawatarudi Bungeni isipokuwa wawili ktk hao kwa makusudi maalum kama watakubali masharti watarudishwa Bungeni. Mpaka sasa haina uhakika. Ila wapo kwenye list ya kutokurudi Bungeni.

Uchaguzi 2020 utakuwa na mambo mambo yake ambayo wenye akili tunayafahamu. Hatutaruhusu watu wasio na mwelekeo kuongoza tena maeneo yetu.
Kwahiyo sisi tufanyaje?
 
Watanzania tumefanya kosa kubwa sana kumuacha mtu mmoja afanye atakalo nchini.
Atachokiamua yeye kinakuwa.
This kind of rubbish must be ended now
Mbona Mbowe anafanya atakalo huko Chadema na maisha yanaendelea? hv huu unafiki mnaofanya hamjistukii tu?
 
Huyu hapa
IMG-20200616-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom