Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Hata members wenzake wa SISIEMU hawamkubali ndio maana hataki hata mtu wa kuzuga kuchukua form maana CC haiamini wanaweza wakamchinjia baharini wamteue garasa!! Ndio maana Bashiru kasema wazi inakuwaje ZNZ wanachukua form wagombea wengi wakati chama ni Kimoja? Sasa unategemea mtu kama huyu ampe form mwanachama mwingine aje kupambana na GUMALIFU?Watanzania tumefanya kosa kubwa sana kumuacha mtu mmoja afanye atakalo nchini.
Atachokiamua yeye kinakuwa.
This kind of rubbish must be ended now
Would you please tell us how we can end it.Watanzania tumefanya kosa kubwa sana kumuacha mtu mmoja afanye atakalo nchini.
Atachokiamua yeye kinakuwa.
This kind of rubbish must be ended now