Uchaguzi 2020 Hawa Wapinzani hawarudi Bungeni hata iweje

Kwani wanateuliwa au wanachaguliwa
Mshajimilikisha nchi nani aishi na nani afe ndiko mnapoelekea..
 
Inamaana Z. Kabwe na F.Mbowe kurudi mjengoni mpaka wakubali kuchomolewa ubongo na kupachikwa ubongo wa kijani
 
Asitakayerudi bungeni mama yako. Pumbavu
 
Mimi siyo Chadema wala CCM lakini Sugu uhakika wa kurudi ni 99%
 
Jaribuni kuiba uchaguzi ili tuitie nchi kibiriti.
Mnapokuwa na VIJANA wenye mawazo ya KUJIDHURU NA KUWADHURU WENGINE BASI NI LAZIMA TUTAMBUE KUWA KUNA HAJA YA KUWAKUMBUSHA HAWA VIJANA WENZETU wajibidiishe kuisoma vyema historian ADHIMU ya nchi hii na wafanye feasibility study kiutunduizi wakidurusu historia za nchi ZISIZOTULIA VURUGU...
Baraka za ujamaa na kujitegemea ziwe juu ya kichwa chako aaamen aaamen
 
Kwa kutumia Polisi,Wakurugenzi ambao ni makada wa ccm,Tume isiyokuwa huru wanaweza kweli kutokurudi maana hakuna haki itakayotendeka!!!
 
Wamakru wamakrallahu wallahu khayru-lmaakiryin.
 
Inavyoonekana mwaka huu uchaguzi utakuwa tofauti sana. Siyo kura ya mwananchi inayokwenda kuamua mani awe kiongozi/wabuge wao, bali ni masharti maalum. Na hayo masharti kuna vyama tayari vimeshakubaliana nayo.
Mkuu, hayo masharti ni yapi?
 
Kweli ujinga mzigo hata wasiporudi itakusaidiaje wewe kuongeza ugali wako mijitu myeusi kweli nilaani
 
Pamoja na kuandika takataka, ila ukae ukijua nguvu ya wananchi haijawai kushindwa hata mara mojaa.. sas nyie jioneni km mko peke yenu nchi hii..
 
Mkuu haya mambo yakujiapisha kama vile nyie ndo mnapiga kura si mda itaweza leta madhara makubwa katika taifa ,note kabisa hii CCM naona mnapitiliza sasa kwenye mstari mwekundu,na sisi tunao jitambua hatuwezi fumbia mambo kama haya haiwezekani mtatuchafulia nchi hivihvi kimzaa.
We ni nani mpaka upangie wananchi kwamba huyu na yule hawawezi kurudi bungeni au yule hawezi kwenda ikulu ,kama mmejipanga kulazimisha hata Yale yasiolazimika hakika nawambieni mtakiona mnachokitaka, Hawezekaniki Chama chochote kijione kina hati miliki ya taifa hili kuliko kingine ,vyama vyote ndani ya nchi ni wapangaji tu ndani ya taifa na sisi kama wananchi tunaouwezo wa kukufukuza mda wowote kupitia kura na tukasema no ,na ukilazimisha unakiona cha mtema kuni
Kipindi hiki punguzeni ushabiki na chunga kauli zenu zenye dhiaka kwa wenye nchi au waliowapangisha nchi yani WANANCHI
mambo ya kuwatamkia maneno et mara huyu ndo rais wenu,mara hao ndo wabunge wenu. mara hao hawarudi,Mara nikiamua nakukata,yani sisi tumtake mwakilishi wetu alafu umkate na sisi tunakukata hupati kura yetu hata moja
 
Watanzania tumefanya kosa kubwa sana kumuacha mtu mmoja afanye atakalo nchini.
Atachokiamua yeye kinakuwa.
This kind of rubbish must be ended now
Unadhani akiingia unaye mtaka ndugu utaweza kumpeleka utakavyo? Mamlaka ya juu zaidi siyo kitu cha mchezo mchezo,ni mamlaka ambayo MUNGU mwenyewe anayajua na isitoshe mamlaka haiwezi kuongoza kwa kumsikiliza kila mtu,utasikiliza wangapi?so hata akienda unaye muona wewe kua anafaa kuna siku utamlaumu tu,lazima
 
Tume ni ya chato ila Jana mwisho
 
Mkuu, pamoja na maelezo yako mazuri Kuna kitu hujaelewa.. hao watu hawashindi kwa kura. Kura zitapigwa, lkn mshindi yupi wa kutangazwa wanaamua wao. Umeona wanasema Kuna masharti ukikubali unapewa ushindi. Kura hazihusiki hapo
 
Uchaguzi una mambo yake. Ngoja kampeni zianze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…