Uchaguzi 2020 Hawa Wapinzani hawarudi Bungeni hata iweje

Ni muda muhimu wa watawala kusoma alama za nyakati na wasi wa underestimate Sana watanzania sio busara kumpiga Sana paka huku ukiwa umejifungia nae ndani.
Turning Point ni October 2020,tumwage pombe yote na kuikomboa Tanzania yetu.Wamevuruga mno misingi ya nchi hii,wamepandikiza chuki miongoni mwetu kwa kiasi kikubwa.Tunaelekea kuishi kama digidigi ndani ya Ardhi tuliyoirithi toka kwa wasisi wetu.
 
Ongeza Bweg
 
Mbowe kwenda kugombea Urais ni kitu cha ajabu sana...Mbowe hata jengo chadema hamna na mlipewa Ruzuku 400m sasa unataka Urais kama cdm imekushinda kuisaidia Jengo tu la Ofisi unataka Urais.

Na kwa Jinsi najua wapambe watapiga Kelele ili uonekane wewe ndio Unakubalika Mana huwa hushindwi Uchaguzi wa Cdm..
 
Mkuu, pamoja na maelezo yako mazuri Kuna kitu hujaelewa.. hao watu hawashindi kwa kura. Kura zitapigwa, lkn mshindi yupi wa kutangazwa wanaamua wao. Umeona wanasema Kuna masharti ukikubali unapewa ushindi. Kura hazihusiki hapo
Mkuu nimemuelewa na najua ukizoea kula nyama ya binadam huwezi hacha ,na ndo maana nasema kama Ccm kwa kauli zao wanafikili kutumia ubabe watakipata wanachokitafuta watu wamechoka so wawapeleke wanavyo taka sio wanavyotaka wao hapo watachemka na kuwasha moto ambao hawawezi kuuzima
hata waingie na vifaru mtaani ,
sasa wanataka kuona watu kwa sasa hawana cha kupoteza wajaribu kuforce hata yasioforcewa kama watu wengine wanaojiamini hawatahama nchi mapema
Sisi tuko mtaani tunaona ,tunasikia,watu wananuia na walio kwenye viyoyozi na wapambe wao wabafikili wamemaliza kila kitu ,mchezo wa mwaka huu tumieni akili mkitumia manguvu MWAFAA MAPEMA
 
Ungejua huyu bosi wako namba moja hatarudi madarakani ungekuwa na adabu.
Jiandae kisaikolojia nchi kuongozwa na wapinzani
 
Hili nalo hoho
 
Itawafaa nini hata mkipewa nchi nzima , miaka zaidi ya miaka 50 ya uhuru mpo madarakani na bado hamjamaliza changamoto za watanzania,hamuoni kuwa mshafeli sera hazifanyi kazi,mnategemea dola kubaki madarakani ni aibu kwa chama kikongwe kama CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…