Hawa wapo juu zaidi ya diamond

Wamajanga

Senior Member
Joined
Jun 24, 2014
Posts
133
Reaction score
47
Kiukweli hawa wapo juu zaidi ya diamond ila hawapewi promo kama anavyopewa diamond wanajua kuimba vizuri sana hawa hapa wafuatao
Ben Paul
Bell 9
Ally Nipishe
Barnaba
Ditto
Amini

Kama unabisha wewe bisha
 
Kujua kuimba na kuwa star ni vitu viwili tofauti... wapo wenye saut nzuri kushinda hao uliotaja but wanaimba chooni...

Kubali tu Domo ni zaidi ya muimbaji
 
Reactions: Sal
Angalia vitu vinavyomfanya domo awe juu....uliowataja hapo kwa sehemu kubwa hawajui kumiliki jukwaa. Then usisahau domo yeye ni bandika bandua so kila wakati lazima awe na wimbo unaohit tofauti na hao wengine wanatoa nyimbo mbili kwa mwaka
 
Reactions: Sal
Ubunifu2 na kutumia fursa bila kusahau juhud binafs na kuthubut, ndo vi2 vnavomuweka diamond kilelen so km vp wajpange2 coz kpaj2 peke ake bila efforts ni sawa na ziro
 
Kwann wasitafute promo na wao? Domond z a risk taker kubali kataa.
 
Angalia vitu vinavyomfanya domo awe juu....uliowataja hapo kwa sehemu kubwa hawajui kumiliki jukwaa. Then usisahau domo yeye ni bandika bandua so kila wakati lazima awe na wimbo unaohit tofauti na hao wengine wanatoa nyimbo mbili kwa mwaka

kuhusu kumilki jukwaa kuna anayemshnda h baba kibongo bongo? na kuhusu bandka bandua, haikufanyi uwe bora, zaidi tu mashabk wanakuchoka kama sasa hivi wanavyoelekea kumchoka domo.
 
namba 1 ndo angekaa belle 9.mtoto anaimba hatari Ila ndo hivyo hatoki cjui kwann.Huyu atakuwa Ana nyota ya mbu.
 
Kuna hawa wanasumbua sana kwenye vilabu vya pombe zetu za kienyeji kushinda huyo Domo wenu,
1.Best Naso
2.Chief Maker
 
kuhusu kumilki jukwaa kuna anayemshnda h baba kibongo bongo? na kuhusu bandka bandua, haikufanyi uwe bora, zaidi tu mashabk wanakuchoka kama sasa hivi wanavyoelekea kumchoka domo.

utasubiri sana.......

h baba my foot....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…