Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ally nipishe ni nomaaaa ila Dai ndio bahati yakeeee
Mmemsahau Rama Dee jamani the guy is singing kwa kweli.
Mmemsahau Rama Dee jamani the guy is singing kwa kweli.
Angalia vitu vinavyomfanya domo awe juu....uliowataja hapo kwa sehemu kubwa hawajui kumiliki jukwaa. Then usisahau domo yeye ni bandika bandua so kila wakati lazima awe na wimbo unaohit tofauti na hao wengine wanatoa nyimbo mbili kwa mwaka
Diamond yupo juu kisanii na yupo juu ya vifua vya dada zenu
Diamond yupo juu kisanii na yupo juu ya vifua vya dada zenu
kuhusu kumilki jukwaa kuna anayemshnda h baba kibongo bongo? na kuhusu bandka bandua, haikufanyi uwe bora, zaidi tu mashabk wanakuchoka kama sasa hivi wanavyoelekea kumchoka domo.
Diamond yupo juu kisanii na yupo juu ya vifua vya dada zenu
Ally nipishe ni nomaaaa ila Dai ndio bahati yakeeee