Wema mtu yyt ulikuwa unajipigia tuWema Sipetu, Gigy Money, Masha Love na mwezi mchanga wengine wote ni wanawake wa walevi tu, ukimuona mtu analea mimba za watu hao ujue huyo anaweza hata akajivesha bomu ajilipue. We unawezaje kuingia uvunguni mwa hao watu bila viatu?
Aisee 😳Jicho
Ova
Mtu akishapata jina awezi kupotea kiasi asijulikane tena, What i said ni kwenye business kutokana na kukosa scandals za kuongelewa kila wakati, Kwa mfano ukimzungumzia Diamond kwanini anatoka na Zuchu? Kwa akili ndogo unaweza kudhani ni hisia zimempeleka pale lakini kama jamaa angekuwa ampelekwa na hisia basi ungekuta washaachana kitambo ila kwa kuwa ni part ya kujikuza ki-business hivyo kila mmoja anajua afanye nini... In case huelewi nini naongelea basi tuishie hapo maana hata hivyo sio kila mtu anapaswa kujua.kwenye endorsement YES umeshinda, je nani aliepotea kwa hao wachache niliowataja hapo according to your mtazamo??
tuishie tu kwakweli, kuwa na partner ambae ni staa sio kila kitu kwa msaniiMtu akishapata jina awezi kupotea kiasi asijulikane tena, What i said ni kwenye business kutokana na kukosa scandals za kuongelewa kila wakati, Kwa mfano ukimzungumzia Diamond kwanini anatoka na Zuchu? Kwa akili ndogo unaweza kudhani ni hisia zimempeleka pale lakini kama jamaa angekuwa ampelekwa na hisia basi ungekuta washaachana kitambo ila kwa kuwa ni part ya kujikuza ki-business hivyo kila mmoja anajua afanye nini... In case huelewi nini naongelea basi tuishie hapo maana hata hivyo sio kila mtu anapaswa kujua.
Wema mtu yyt ulikuwa unajipigia tu
Gig ndy usiseme biashara pale mziki zuga tu
Ova
Wema Sepetu tangu enzi za magazeti ya shigongo ,enzi za tv na sasa mitandao na smartphones ,maceleb aliotembea nao wanafika hata 20 achana na wale wasiojulikana
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu hilo hapo ..Muangalie mtu kama Marioo,pamoja na umaarufu alionao angeweza kupata mwanamke mzuri tu popote,lakini ilikuaje akaangukia kwa yule binti? Tena nasikia anataka kuoa kabisa..
Mifano ni mingi,unakuta kuna slay queen anajulika kabisa analiwa na fulani lakini ghafla mwingine naye anabeba hawana kinyaa? Lile gonjwa vipi labda ni ushamba wangu.
Nijuzeni wakuu wanawezaje?
Kifupi bongo maisha ya standard na umaarufu yapo kwenye "WEHU"Hahahaa bongo kila mtu Msanii ikitokea fursa ya kiki tu unakua celebrity,
Hivyo easy tu ikitokea!
😁😁
Goti
Watu karibia wote wanashare sema kwa vile huyo unamjua.Muangalie mtu kama Marioo,pamoja na umaarufu alionao angeweza kupata mwanamke mzuri tu popote,lakini ilikuaje akaangukia kwa yule binti? Tena nasikia anataka kuoa kabisa..
Mifano ni mingi,unakuta kuna slay queen anajulika kabisa analiwa na fulani lakini ghafla mwingine naye anabeba hawana kinyaa? Lile gonjwa vipi labda ni ushamba wangu.
Nijuzeni wakuu wanawezaje?
Kujua au kutojua haimaniishi hauchangii na mtu.Hata kama,lakini ni bora usijue..