ngulyabhule
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 344
- 712
Mh!Kumeibuka ushindi mkubwa sana kwa huyu mchambuzi anayeitwa Dullah heavy weight wa Wasafi dhidi ya msemaji wa Yanga bwa mdogo Ali Kamwe. Wakati Dullah akiweka uchambuzi wake alibase kwenye facts anazo ziona na uhalisia wake alianzia kwenye asilimia 10 kwa Yanga vs Simba. Ali Kamwe akaibuka kwa kejeri yakatokea ya Dullah kuwa mshindi. Dullah akaja na Kocha hatoboi October Ali Kamwe akaja kwa kejeli zile zile kwamba "walisema October hatoboi si huyo hapa mwalimu na kuipamba klabu kuwa inafanya mambo kwa weledi" analisema hili ilhali October haijakwisha na taarifa ya klabu jana imemfurumusha mwalimu. Swali langu hawa wasemaji ni wachumia tumbo, ama taaluma mbovu au ni watu wasio na aibu au ni vile hawawezi kuusema ukweli hata kama wanaujua?! Mwisho wa siku binafsi naweza ona aibu watu wa nje kuyasema na kuyajua vema mambo ya mpira kuliko wasemaji wa klabu husika. Na hili limetokea kwa wasemaji wengi sana wa vilabu vya hapa Tz. Binafsi sisiti kusema ufike wakati hiki kitengo kitolewe ama kifanyiwe mabadiriko makubwa.
Hahahaha Kwanza nicheke mbona jibu liko wazi mkuu Kwanza Ali kamwe akivaa viatu vya uchambuzi huyo heavy weight dullah aje na wenzake Kama kumi hivi hao wakina hansi Rafael wote hawatoboi kwa facts, tactical.ila alkamwe anasimama Kama msemaji kitengo Cha habari anatoa taarifa kwa club kwenda kwa final consumer ambao Ni MASHABIKI na wanachama Huku akiwa anatetea nembo ya club.sio taaluma mbovu Ila nembo ya YANGA ndiyo anaipigania
Sawa Dullah heavy weight wa Wasafi. Umesomeka.
Kuwa direct and to the target big boss!Andika Ally Kamwe msemaji wa utopolo na siyo uandike "wasemaji"!Kumeibuka ushindi mkubwa sana kwa huyu mchambuzi anayeitwa Dullah heavy weight wa Wasafi dhidi ya msemaji wa Yanga bwa mdogo Ali Kamwe. Wakati Dullah akiweka uchambuzi wake alibase kwenye facts anazo ziona na uhalisia wake alianzia kwenye asilimia 10 kwa Yanga vs Simba. Ali Kamwe akaibuka kwa kejeri yakatokea ya Dullah kuwa mshindi. Dullah akaja na Kocha hatoboi October Ali Kamwe akaja kwa kejeli zile zile kwamba "walisema October hatoboi si huyo hapa mwalimu na kuipamba klabu kuwa inafanya mambo kwa weledi" analisema hili ilhali October haijakwisha na taarifa ya klabu jana imemfurumusha mwalimu. Swali langu hawa wasemaji ni wachumia tumbo, ama taaluma mbovu au ni watu wasio na aibu au ni vile hawawezi kuusema ukweli hata kama wanaujua?! Mwisho wa siku binafsi naweza ona aibu watu wa nje kuyasema na kuyajua vema mambo ya mpira kuliko wasemaji wa klabu husika. Na hili limetokea kwa wasemaji wengi sana wa vilabu vya hapa Tz. Binafsi sisiti kusema ufike wakati hiki kitengo kitolewe ama kifanyiwe mabadiriko makubwa.
Kuwa direct and to the target big boss!Andika Ally Kamwe msemaji wa utopolo na siyo uandike "wasemaji"!
Sawa hoja yangu abaki kwenye kutoa taarifa ila si kuwajibu wakosoaji kwa kejeli ambapo baadaye anaonakana kama yeye hamnazo kuliko wachambuzi
Zote hizo ni kazi zake anatetea nembo ya club hata huyo heavy weight dullah Ni Kama alibeti tuu what if Kama yanga angeshinda Ile game ya simba
Zote hizo ni kazi zake anatetea nembo ya club hata huyo heavy weight dullah Ni Kama alibeti tuu what if Kama yanga angeshinda Ile game ya simba
Sasa kama hili la Kocha ametetea kipi? Je nalo Dullah alibet ilhali alitoa facts na kusema "awali nilisema kocha hafiki December ila kwa mwenendo huu wa timu napunguza na kusema October hatoboi" je ni kubet ama alibase kwenye uhalisia wa mambo? Haya sasa fananisha na majibu ya Ali kwenye hili.
Kwahiyo we ukitaka alikamwe awaambie MASHABIKI msiu huu hatuna timu na kocha kwahiyo MASHABIKI msimdharau dullah Yuko sahihi ulotaka aseme hivyo
Asingeweza kushinda kamwe.! Alikamatika ndani na nje ya uwanja.Zote hizo ni kazi zake anatetea nembo ya club hata huyo heavy weight dullah Ni Kama alibeti tuu what if Kama yanga angeshinda Ile game ya simba
Msemaji hapaswi kukubaliana na kila mchambuzi bana vinginevyo kuna kuwa na tofauti gani kati ya msemaji wa taasisi na mtangazaji wa mediaKumeibuka ushindi mkubwa sana kwa huyu mchambuzi anayeitwa Dullah heavy weight wa Wasafi dhidi ya msemaji wa Yanga bwa mdogo Ali Kamwe. Wakati Dullah akiweka uchambuzi wake alibase kwenye facts anazo ziona na uhalisia wake alianzia kwenye asilimia 10 kwa Yanga vs Simba. Ali Kamwe akaibuka kwa kejeri yakatokea ya Dullah kuwa mshindi. Dullah akaja na Kocha hatoboi October Ali Kamwe akaja kwa kejeli zile zile kwamba "walisema October hatoboi si huyo hapa mwalimu na kuipamba klabu kuwa inafanya mambo kwa weledi" analisema hili ilhali October haijakwisha na taarifa ya klabu jana imemfurumusha mwalimu. Swali langu hawa wasemaji ni wachumia tumbo, ama taaluma mbovu au ni watu wasio na aibu au ni vile hawawezi kuusema ukweli hata kama wanaujua?! Mwisho wa siku binafsi naweza ona aibu watu wa nje kuyasema na kuyajua vema mambo ya mpira kuliko wasemaji wa klabu husika. Na hili limetokea kwa wasemaji wengi sana wa vilabu vya hapa Tz. Binafsi sisiti kusema ufike wakati hiki kitengo kitolewe ama kifanyiwe mabadiriko makubwa.
Msemaji hapaswi kukubaliana na kila mchambuzi bana vinginevyo kuna kuwa na tofauti gani kati ya msemaji wa taasisi na mtangazaji wa media
Kwahiyo msemaji ajibie kila utabiri wa mtangazaji?Msemaji sawa asikubaliane na mchambuzi sawa ila yeye kama msemaji anapaswa akae kimya asubiri yatakato tokea baaya ya mchambuzi! Hili la kujibu mchambuzi ni sawa na kubishana na mjinga haya sasa yule jamaa wa wasafi kaunganisha clip yake akisema kocha hatoboi October na ile ya Ali akisema wachambuzi walisema kocha hafiki October! Sasa mpaka pale imeonekana yule Dullah alikuwa mbele ya muda kuliko Msemaji ndiyo logic yangu ilipo.
Umemjibu vizuri SanaHahahaha Kwanza nicheke mbona jibu liko wazi mkuu Kwanza Ali kamwe akivaa viatu vya uchambuzi huyo heavy weight dullah aje na wenzake Kama kumi hivi hao wakina hansi Rafael wote hawatoboi kwa facts, tactical.ila alkamwe anasimama Kama msemaji kitengo Cha habari anatoa taarifa kwa club kwenda kwa final consumer ambao Ni MASHABIKI na wanachama Huku akiwa anatetea nembo ya club.sio taaluma mbovu Ila nembo ya YANGA ndiyo anaipigania