GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,885
- 18,636
Kwahiyo unadhani alipaswa kusema.." ni kwelii, huyu kocha mwezi wa kumi hatoboiii, me nawaambiaa, mtayakumbuka maneno yanguu"Kumeibuka ushindi mkubwa sana kwa huyu mchambuzi anayeitwa Dullah heavy weight wa Wasafi dhidi ya msemaji wa Yanga bwa mdogo Ali Kamwe. Wakati Dullah akiweka uchambuzi wake alibase kwenye facts anazo ziona na uhalisia wake alianzia kwenye asilimia 10 kwa Yanga vs Simba. Ali Kamwe akaibuka kwa kejeri yakatokea ya Dullah kuwa mshindi. Dullah akaja na Kocha hatoboi October Ali Kamwe akaja kwa kejeli zile zile kwamba "walisema October hatoboi si huyo hapa mwalimu na kuipamba klabu kuwa inafanya mambo kwa weledi" analisema hili ilhali October haijakwisha na taarifa ya klabu jana imemfurumusha mwalimu. Swali langu hawa wasemaji ni wachumia tumbo, ama taaluma mbovu au ni watu wasio na aibu au ni vile hawawezi kuusema ukweli hata kama wanaujua?! Mwisho wa siku binafsi naweza ona aibu watu wa nje kuyasema na kuyajua vema mambo ya mpira kuliko wasemaji wa klabu husika. Na hili limetokea kwa wasemaji wengi sana wa vilabu vya hapa Tz. Binafsi sisiti kusema ufike wakati hiki kitengo kitolewe ama kifanyiwe mabadiriko makubwa.
Mtoa uzi ni mjinga sanaKwahiyo unadhani alipaswa kusema.." ni kwelii, huyu kocha mwezi wa kumi hatoboiii, me nawaambiaa, mtayakumbuka maneno yanguu"
Na mahali pengine unafikiri alipaswa aseme "Aisee sisi yanga kwenye derby hatutoboii, yaani tuna asikimia 10 tuu, hatutoki nawaambiaa"
Au tuandikie wewe alivyopaswa kujibu, akiwa ni msemaji wa club
Kwahiyo unadhani alipaswa kusema.." ni kwelii, huyu kocha mwezi wa kumi hatoboiii, me nawaambiaa, mtayakumbuka maneno yanguu"
Na mahali pengine unafikiri alipaswa aseme "Aisee sisi yanga kwenye derby hatutoboii, yaani tuna asikimia 10 tuu, hatutoki nawaambiaa"
Au tuandikie wewe alivyopaswa kujibu, akiwa ni msemaji wa club
Mtoa uzi ni mjinga sana
Anaweka hisia kwenye eneo ambalo huitaji hisia
Kuna msimu ahmed ali alisema bado wananafasi ya kuchukua ubingwa ilihali nafasi ilikuwa haipo
Sasa yeye anataka msemaji aiponde timu yake na aungane wanaoiponda timu yake ili wamfurahishe yeye
Alitaka ali kamwe aungane na dullah mwezi wa tisa kwamba manqoba hatoboi ni mambo ya hovyo sana
Kwahiyo unadhani alipaswa kusema.." ni kwelii, huyu kocha mwezi wa kumi hatoboiii, me nawaambiaa, mtayakumbuka maneno yanguu"
Na mahali pengine unafikiri alipaswa aseme "Aisee sisi yanga kwenye derby hatutoboii, yaani tuna asikimia 10 tuu, hatutoki nawaambiaa"
Au tuandikie wewe alivyopaswa kujibu, akiwa ni msemaji wa club
Anakaaje kimya ilihali ni msemaji wa timuHisia umezileta wewe sijui kichwani mwako umejaa makamasi badala ya ubongo! Kwani Dulla aliposema Yanga mbovu yeye Ali angekaa kimya kungeleta video ya sasa ambayo Dullah anatamba nayo?! Hivi unatumia kiungo gani kifikiria?!
Anakaaje kimya ilihali ni msemaji wa timu
Hiyo ni idara ya propaganda ya timu. Usitegemee sana kusikia mambo technical, otherwise wewe ndio ujui haya mambo vizuri inakubidi ujifunze.Kumeibuka ushindi mkubwa sana kwa huyu mchambuzi anayeitwa Dullah heavy weight wa Wasafi dhidi ya msemaji wa Yanga bwa mdogo Ali Kamwe. Wakati Dullah akiweka uchambuzi wake alibase kwenye facts anazo ziona na uhalisia wake alianzia kwenye asilimia 10 kwa Yanga vs Simba. Ali Kamwe akaibuka kwa kejeri yakatokea ya Dullah kuwa mshindi. Dullah akaja na Kocha hatoboi October Ali Kamwe akaja kwa kejeli zile zile kwamba "walisema October hatoboi si huyo hapa mwalimu na kuipamba klabu kuwa inafanya mambo kwa weledi" analisema hili ilhali October haijakwisha na taarifa ya klabu jana imemfurumusha mwalimu. Swali langu hawa wasemaji ni wachumia tumbo, ama taaluma mbovu au ni watu wasio na aibu au ni vile hawawezi kuusema ukweli hata kama wanaujua?! Mwisho wa siku binafsi naweza ona aibu watu wa nje kuyasema na kuyajua vema mambo ya mpira kuliko wasemaji wa klabu husika. Na hili limetokea kwa wasemaji wengi sana wa vilabu vya hapa Tz. Binafsi sisiti kusema ufike wakati hiki kitengo kitolewe ama kifanyiwe mabadiriko makubwa.
Wewe ni hamnazoNi msemaji wa timu siyo mchambuzi wa timu mambo ya kuwajibu wachambuzi siyo usemaji ! Kula ya wachambuzi hapa Tz inategemea sana hizi timu mbili sasa hivi yule Dullah anavimba kisa tu alijibiwa na Ali na yeye kuonekana mshindi
Tofauti ni majina tu. We unamwona Ally Kamwe ana jinsia tofauti na yule dada? Hujui tu. Ally alishaaga mashindanoMkuu nimetumia uwingi as uupo yule dada wa TRA naye yaani kwenye hili tofauti yake na Ali ni jinsia tu!
Wewe ni hamnazo
Yule ni msemaji sasa kama hujui kazi ya msemajiNimekupa hoja nawe weka hapa hoja yako na si kuandika as if umekalia kitu chenye ncha kali!
Aibu naona mie huku jamani mpaka sasa sijaamini kwamba kocha kanyolewa October hii 😢😢😢😢Kumeibuka ushindi mkubwa sana kwa huyu mchambuzi anayeitwa Dullah heavy weight wa Wasafi dhidi ya msemaji wa Yanga bwa mdogo Ali Kamwe. Wakati Dullah akiweka uchambuzi wake alibase kwenye facts anazo ziona na uhalisia wake alianzia kwenye asilimia 10 kwa Yanga vs Simba. Ali Kamwe akaibuka kwa kejeri yakatokea ya Dullah kuwa mshindi. Dullah akaja na Kocha hatoboi October Ali Kamwe akaja kwa kejeli zile zile kwamba "walisema October hatoboi si huyo hapa mwalimu na kuipamba klabu kuwa inafanya mambo kwa weledi" analisema hili ilhali October haijakwisha na taarifa ya klabu jana imemfurumusha mwalimu. Swali langu hawa wasemaji ni wachumia tumbo, ama taaluma mbovu au ni watu wasio na aibu au ni vile hawawezi kuusema ukweli hata kama wanaujua?! Mwisho wa siku binafsi naweza ona aibu watu wa nje kuyasema na kuyajua vema mambo ya mpira kuliko wasemaji wa klabu husika. Na hili limetokea kwa wasemaji wengi sana wa vilabu vya hapa Tz. Binafsi sisiti kusema ufike wakati hiki kitengo kitolewe ama kifanyiwe mabadiriko makubwa.
Yule ni msemaji sasa kama hujui kazi ya msemaji
Sasa ulitaka ali kamwe aiponde Yanga ndo maana nikakuambia hamnazo
Kazi ya msemaji ni kuitetea timu inaposhambuliwa mtandaoni ina maana na hili hulijui ndo maana nikakuita hamnazo
Yaani timu ipondwe mtandaoni hata kama wananchoongea ni kweli msemaji unakaaje kimya
Mimi sijui kutukana na sijafundishwa kutukana kama unategemea na mimi ntaporomosha matusi pole sana