Hawa wasemaji wa vilabu vya soka ni njaa au taaluma mbovu?!

Ndiyo maana anapoteana na kuonekana hovyo mbele ya wachambuzi kwa sababu ya kutetea mambo ambayo hata mwenda wazimu anaweza ng'amua. Haya aitetee sasa kauli yake aliyo ikanusha kuwa kocha hafukuzwi.
Kwani hata asipoitetea wewe utamfanya nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…