Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Napenda sana kusikiliza East Africa Radio (EA radio) Super Mix, Kipenga Extra na East Africa Drive (Ndinga mpya Town). Vipindi hivi vitatu huwa nikipata muda navisikiliza maana watangazaji wanaoendsha vipindi hivi vyote wanajua sana kile wanachofanya.
Kwangu mimi naona Watangazaji wa Ndinga mpya Town ni wabunifu na wacheshi sana wawapo kwenye kipindi hakika wanatoa burudani sana sio katika habari bali hata kwenye mazungumzo yao (David Rwenyagira na Ian Dialo).
Zamani Jahazi la Clouds Fm lilikuwa na Kombinesheni nzuri sana ila tangu nimeanza kusikiliza David na Ian hakika nimejikuta napenda sana Kipini chao. Pia mziki wanaocheza katika kipi chao ni wa kipekee sana (Playlist).
Hongera sana David Rwenyagira na Ian Dialo (Buda).