Hawa Watangazaji wa East Africa Radio wanajua sana

Hawa Watangazaji wa East Africa Radio wanajua sana

Tusimsahau
Napenda sana kusikiliza East Africa Radio (EA radio) Super Mix, Kipenga Extra na East Africa Drive (Ndinga mpya Town). Vipindi hivi vitatu huwa nikipata muda navisikiliza maana watangazaji wanaoendsha vipindi hivi vyote wanajua sana kile wanachofanya.

Kwangu mimi naona Watangazaji wa Ndinga mpya Town ni wabunifu na wacheshi sana wawapo kwenye kipindi hakika wanatoa burudani sana sio katika habari bali hata kwenye mazungumzo yao (David Rwenyagira na Ian Dialo).

Zamani Jahazi la Clouds Fm lilikuwa na Kombinesheni nzuri sana ila tangu nimeanza kusikiliza David na Ian hakika nimejikuta napenda sana Kipini chao. Pia mziki wanaocheza katika kipi chao ni wa kipekee sana (Playlist).

Hongera sana David Rwenyagira na Ian Dialo (Buda). View attachment 789395
Mbona umemsahau djaro Wa rungu,au kwa sababu unakulaga mboko nini mkuu?
 
Wenzenu wa Mikoani hatuijui hiyo EA Radio,labda tukikaribia na Mjini kwenu.Hivi Zembwela bado yupo SuperMix...? Kuna kipindi nilikiwa Mjini namsikiliza mpaka nikapenda Ideas/contents za kile kipindi
 
Wenzenu wa Mikoani hatuijui hiyo EA Radio,labda tukikaribia na Mjini kwenu.Hivi Zembwela bado yupo SuperMix...? Kuna kipindi nilikiwa Mjini namsikiliza mpaka nikapenda Ideas/contents za kile kipindi
East africa ipo mikoani pia
 
East africa ipo mikoani pia
Mikoa ya Kanda ya Magharibi,Sijawahi kuisikia labda utumie Decoder ya Azam.Mimi nikiwa Kanda ya Kati na Mashariki ndiyo huwa naipata
 
Kipindi cha Asubuhi East Africa Radio hakijapata watu wazuri wakufanya kazi na shabani Lupa.

Yule scola angetafuta kazi nyngne au akae ktk production hajaweza ndinga hajaweza asubuhi.

Huyo Lupa anaboa sana kwenye magazeti kila headline anataka aitolee maelezo ambayo hayana kichwa wala miguu yaani ni kilele kujichekesha na kupoteza muda sawa sawa na Musa wa efm akisoma kitenge naye huongeza porojo zisizo na maana. Jirekebisheni.
 
Kipindi cha Asubuhi East Africa Radio hakijapata watu wazuri wakufanya kazi na shabani Lupa.

Yule scola angetafuta kazi nyngne au akae ktk production hajaweza ndinga hajaweza asubuhi.
Kweli watu tunatofautiana sana. Mimi namhusudu sana huyu binti. Kombinenga lao na Shaaban Lupa in nomaa. EA radio on fireee.
 
Kipindi cha Asubuhi East Africa Radio hakijapata watu wazuri wakufanya kazi na shabani Lupa.

Yule scola angetafuta kazi nyngne au akae ktk production hajaweza ndinga hajaweza asubuhi.
Mbona Shabani Lupa na huyo Scola siku hizi hawasikiki hapo East Africa Radio?
 
Hivi unaskiliza Power breakfast wewe ya Babra Hassan,Masoud Kipanya,Fredwaa na Ciza?au XXL ya Twangala,Kenedy,Mami na AD+??...Na log off coz Team nanii wakija hapa sio watu wazuri kabisa.
 
Back
Top Bottom