Hawa Watangazaji wa East Africa Radio wanajua sana

Hawa Watangazaji wa East Africa Radio wanajua sana

Duuh. Pole kwa wafiwa. Aliugua? Mbona hakuna mahali popote vyombo vya IPP Media wameripoti kifo chake kwa kuzingatia kwamba marehemu alikuwa ni mfanyakazi wao?
Kwa jinsi nilivyosikia aliumwa kwa muda mfupi tu,kwenye kipindi cha East Africa Breakfast wametangaza pia kwamba amefariki.....Inaonekana alikuwa kashaacha kazi E.A maana hajasikika mda mrefu sana E.A Radio.
 
Sawa. Safari yake duniani imefikia tamati. Binafsi nilipenda utangazaji na ucheshi wake kwenye kipindi.
 
Sawa. Safari yake duniani imefikia tamati. Binafsi nilipenda utangazaji na ucheshi wake kwenye kipindi.
SL.jpg
 
Hivi aliacha kazi mwenyewe au aliachishwa? Maana sidhani kama alitimiza hata miezi mitatu bila kuwa kazini pale East Africa radio. Isijekuwa stress za kutokuwa na ajira ndizo zimepelekea kupata maradhi yaliyosababisha kifo chake.
Sina uhakika kwa hilo ia muda sana hakuwa hewana EA Radio.
 
Back
Top Bottom