King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kwa jinsi nilivyosikia aliumwa kwa muda mfupi tu,kwenye kipindi cha East Africa Breakfast wametangaza pia kwamba amefariki.....Inaonekana alikuwa kashaacha kazi E.A maana hajasikika mda mrefu sana E.A Radio.Duuh. Pole kwa wafiwa. Aliugua? Mbona hakuna mahali popote vyombo vya IPP Media wameripoti kifo chake kwa kuzingatia kwamba marehemu alikuwa ni mfanyakazi wao?