ChamiNdonda
Senior Member
- Mar 12, 2016
- 135
- 184
DJ JEFUJERI FANYA MUJI UNATISHINGIKA NDUPA SISI RUBUDANI AZANDE - M.A.P ABELI MOTIKADJ JEFF JERRY KUTOKA KISS FM YUKO WAPI?
Mbona umemsahau djaro Wa rungu,au kwa sababu unakulaga mboko nini mkuu?Napenda sana kusikiliza East Africa Radio (EA radio) Super Mix, Kipenga Extra na East Africa Drive (Ndinga mpya Town). Vipindi hivi vitatu huwa nikipata muda navisikiliza maana watangazaji wanaoendsha vipindi hivi vyote wanajua sana kile wanachofanya.
Kwangu mimi naona Watangazaji wa Ndinga mpya Town ni wabunifu na wacheshi sana wawapo kwenye kipindi hakika wanatoa burudani sana sio katika habari bali hata kwenye mazungumzo yao (David Rwenyagira na Ian Dialo).
Zamani Jahazi la Clouds Fm lilikuwa na Kombinesheni nzuri sana ila tangu nimeanza kusikiliza David na Ian hakika nimejikuta napenda sana Kipini chao. Pia mziki wanaocheza katika kipi chao ni wa kipekee sana (Playlist).
Hongera sana David Rwenyagira na Ian Dialo (Buda). View attachment 789395
HahahahaTusimsahau
Mbona umemsahau djaro Wa rungu,au kwa sababu unakulaga mboko nini mkuu?
Huyo mtangazaji anapendwa na washamba kama wewe.Tusimsahau
Mbona umemsahau djaro Wa rungu,au kwa sababu unakulaga mboko nini mkuu?
East africa ipo mikoani piaWenzenu wa Mikoani hatuijui hiyo EA Radio,labda tukikaribia na Mjini kwenu.Hivi Zembwela bado yupo SuperMix...? Kuna kipindi nilikiwa Mjini namsikiliza mpaka nikapenda Ideas/contents za kile kipindi
Mikoa ya Kanda ya Magharibi,Sijawahi kuisikia labda utumie Decoder ya Azam.Mimi nikiwa Kanda ya Kati na Mashariki ndiyo huwa naipataEast africa ipo mikoani pia
Umemsahau Cosman Makungu mzee babaSiamini mnawaachaje Audas Mtiganzi (wa ITV- kagera), na George Marato "aitiivii maraaaa"
Hahahaha Cosmas Makongo...Umemsahau Cosman Makungu mzee baba
Kipindi cha Asubuhi East Africa Radio hakijapata watu wazuri wakufanya kazi na shabani Lupa.
Yule scola angetafuta kazi nyngne au akae ktk production hajaweza ndinga hajaweza asubuhi.
Kweli watu tunatofautiana sana. Mimi namhusudu sana huyu binti. Kombinenga lao na Shaaban Lupa in nomaa. EA radio on fireee.Kipindi cha Asubuhi East Africa Radio hakijapata watu wazuri wakufanya kazi na shabani Lupa.
Yule scola angetafuta kazi nyngne au akae ktk production hajaweza ndinga hajaweza asubuhi.
Mbona Shabani Lupa na huyo Scola siku hizi hawasikiki hapo East Africa Radio?Kipindi cha Asubuhi East Africa Radio hakijapata watu wazuri wakufanya kazi na shabani Lupa.
Yule scola angetafuta kazi nyngne au akae ktk production hajaweza ndinga hajaweza asubuhi.
Kibwana dachi watu wanamkubali, mi kwangu watangazaji Bora ni masoud masoud na babie kabaeMtangazaji Tanzania ni kibwana dachi wa magic FM wengine Chenga tu