Hawa watekaji waneshakamatwa au bado tunafatilia?

Hawa watekaji waneshakamatwa au bado tunafatilia?

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Au mpaka iundwe tume ichunguze? Kumbu kumbu dogo ya wananchi ndio mtaji wa madhalimu
1000001731.png
 
Tutaunda tume kuchunguza hiki tukio, kuweni wapole.

Hukumu ya waliomuua mfanya biashara wa madini kule mtwara vipi?
 
Uyo dogo kama Dj anatoa wap ubavu wa kumteka mtu? Wanaume wa dar mjitafakari
 
anad
Au mpaka iundwe tume ichunguze? Kumbu kumbu dogo ya wananchi ndio mtaji wa madhalimu
View attachment 3168652
anaedai kutekwa anajua vizuri zaidi ni akina nani amewadhulumu nini kubabe na kwa dharau sana, lakini pia anajua vizuri sana hua ana mendea mke wa nani na nani..

ni muhimu akawa wazi tu au aache tabia hizo mara moja 🐒
 
Back
Top Bottom