sanalii JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 1,639 Reaction score 5,767 Dec 4, 2024 #1 Au mpaka iundwe tume ichunguze? Kumbu kumbu dogo ya wananchi ndio mtaji wa madhalimu
Palmoni JF-Expert Member Joined Jun 13, 2024 Posts 1,968 Reaction score 3,760 Dec 4, 2024 #2 Bado Uchunguzi Haujakamilika
miviga JF-Expert Member Joined Jan 27, 2024 Posts 1,721 Reaction score 6,037 Dec 4, 2024 #3 Tutaunda tume kuchunguza hiki tukio, kuweni wapole. Hukumu ya waliomuua mfanya biashara wa madini kule mtwara vipi?
Tutaunda tume kuchunguza hiki tukio, kuweni wapole. Hukumu ya waliomuua mfanya biashara wa madini kule mtwara vipi?
Amun Ra JF-Expert Member Joined Jul 30, 2021 Posts 4,713 Reaction score 7,218 Dec 4, 2024 #4 Uyo dogo kama Dj anatoa wap ubavu wa kumteka mtu? Wanaume wa dar mjitafakari
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Dec 4, 2024 #5 anad sanalii said: Au mpaka iundwe tume ichunguze? Kumbu kumbu dogo ya wananchi ndio mtaji wa madhalimu View attachment 3168652 Click to expand... anaedai kutekwa anajua vizuri zaidi ni akina nani amewadhulumu nini kubabe na kwa dharau sana, lakini pia anajua vizuri sana hua ana mendea mke wa nani na nani.. ni muhimu akawa wazi tu au aache tabia hizo mara moja 🐒
anad sanalii said: Au mpaka iundwe tume ichunguze? Kumbu kumbu dogo ya wananchi ndio mtaji wa madhalimu View attachment 3168652 Click to expand... anaedai kutekwa anajua vizuri zaidi ni akina nani amewadhulumu nini kubabe na kwa dharau sana, lakini pia anajua vizuri sana hua ana mendea mke wa nani na nani.. ni muhimu akawa wazi tu au aache tabia hizo mara moja 🐒