Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mmmhwanaomchallenge
Bila shaka japo uwa kuna michezo michafu Serengeti boysUmri wao ulikuwa sahihi tuanzie hapo kwanza
Nia na lengo la swali hili linakata kiu ya uzi huuUmri wao ulikuwa sahihi tuanzie hapo kwanza
Nia na lengo la swali hili linakata kiu ya uzi huu
Cna hakika na haya mkuuu maana viongoz wetu maneno mengi vitendo sifuri hata huyu msomali hana uchungu na mchezo ya nchi hii atupishe tuKwa miaka hii Kama mi 3 kwa soka lavijana hususani u-17 Tanzania ni moja ya timu tishio,Hawa watoto walichukua challenge iliyofanyika Burundi,Tena walipeleka vijana wenye miaka 15 kwani waliandaliwa kwa miaka miwili hata serikali ya Rwanda walileta watu kuja kujifunza uwekezaji wa timu za vijana nchini Tanzania wakaenda kwenye Academy ya Alliance jijini mwanza...kwaio kwa soka la vijana Tanzania ni miongoni mwa timu tishio.
Yupo kimya Sana hamasa imepunguaCna hakika na haya mkuuu maana viongoz wetu maneno mengi vitendo sifuri hata huyu msomali hana uchungu na mchezo ya nchi hii atupishe tu