Hawa watoto unaweza usiwasikie tena

Hawa watoto unaweza usiwasikie tena

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Hawa watoto wa serengeti boys walioshinda ubingwa huko Cosafa kwa upuuzi wa soka letu na huyu Msomali pale tifuatifua kunauwezekano usiwasikie tena kwenye ulimwengu wa soka.Kazi kubwa anayofanya Msomali ni kufungia wanaomchallenge tu,hawa watoto waliondoka kinyonge sana kuelekea kwenye mashindano haya.

Hongera sana mmepambana na kutuwakilisha vizuri
FB_IMG_1544993621317.jpg
 
Na hasa wakithubutu kukubali wito wa kwenda bungeni kujitambulisha .
 
Kwa miaka hii Kama mi 3 kwa soka lavijana hususani u-17 Tanzania ni moja ya timu tishio,Hawa watoto walichukua challenge iliyofanyika Burundi,Tena walipeleka vijana wenye miaka 15 kwani waliandaliwa kwa miaka miwili hata serikali ya Rwanda walileta watu kuja kujifunza uwekezaji wa timu za vijana nchini Tanzania wakaenda kwenye Academy ya Alliance jijini mwanza...kwaio kwa soka la vijana Tanzania ni miongoni mwa timu tishio.
 
Cna hakika na haya mkuuu maana viongoz wetu maneno mengi vitendo sifuri hata huyu msomali hana uchungu na mchezo ya nchi hii atupishe tu
 
Yupo kimya Sana hamasa imepungua
 
Back
Top Bottom