Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Hawa watoto wa serengeti boys walioshinda ubingwa huko Cosafa kwa upuuzi wa soka letu na huyu Msomali pale tifuatifua kunauwezekano usiwasikie tena kwenye ulimwengu wa soka.Kazi kubwa anayofanya Msomali ni kufungia wanaomchallenge tu,hawa watoto waliondoka kinyonge sana kuelekea kwenye mashindano haya.
Hongera sana mmepambana na kutuwakilisha vizuri
Hongera sana mmepambana na kutuwakilisha vizuri