comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
SanaaaHaya mambo yanaogopesha
Wakati wanachoma mali za watu seriousMadogo hawana time na uchaguzi, wameendelea na mishe zao. Wengi wapo social media wakiwapopoa CCM
GenzMh kazi ngumu ase nimeona clip mtu kashushwa kwenye gari na gari yake imechomwa live uku ana angalia dah
NifferWadogo zetu wa 2000 tusameheni sana, tulikuwa tunawadharau ila leo mmeijenga heshima 🙌🏾
Ndio naangalia insta hawana taarifa ila tiktok live kabisa una ona hali mbaya ikiendelea hivi up kesho hali itakuwa mbaya sanaGenz
Ingia tiktok uwaelewe
Hawa madogo
Aloooo
Kweli aisee mpaka nimeshangaaWadogo zetu wa 2000 tusameheni sana, tulikuwa tunawadharau ila leo mmeijenga heshima 🙌🏾
Kimara mwisho hawa Watoto wanashusha mabango yale makubwa ya SamiaNiffer
Oyaaa hawa madogo
One week before leo niliamua kuwafatilia huko tiktok
Oyaa
Sio wakupuuza hawa madogo
Mike Mike ,nitajie mtaa wako ili nisiwapige ndugu zako viboko hapa kabwe maana sio kwa vurugu hizi za akina mwaisa kakaMh kazi ngumu ase nimeona clip mtu kashushwa kwenye gari na gari yake imechomwa live uku ana angalia dah
Malizana nao mkuu usiangalie suraMike Mike ,nitajie mtaa wako ili nisiwapige ndugu zako viboko hapa kabwe maana sio kwa vurugu hizi za akina mwaisa kaka