Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Da Niffer please andika kitu tujue hali yako mioyo yetu itulie.Wadogo zetu wa 2000 tusameheni sana, tulikuwa tunawadharau ila leo mmeijenga heshima 🙌🏾
Da Niffer please andika kitu tujue hali yako mioyo yetu itulie.Wadogo zetu wa 2000 tusameheni sana, tulikuwa tunawadharau ila leo mmeijenga heshima 🙌🏾
Dah wajinga wachache wameharibu taswira nzima ya kuzuia fujo na kuwa mauaji ya watu .Malizana nao mkuu usiangalie sura
Ndio ivyo uku kwetu wamekamatwa wakenya wanaongea kikenya hapo walikuwa wame jikusanya kuchoma ofisi wakadakwa kama kuku wanakula kazi nowDah wajinga wachache wameharibu taswira nzima ya kuzuia fujo na kuwa mauaji ya watu .
Sorry for that
Dah,Mh kazi ngumu ase nimeona clip mtu kashushwa kwenye gari na gari yake imechomwa live uku ana angalia dah
Of course itakuwa ngumu kuiaminisha jamii kuwa wengi wa wafanya matukio walikuwa wageni ila Mimi nilikuwa site na Sasa Niko site ukweli ni kuwa wageni ni wengi kuliko wenyeji ila kinachoniuma zaidi wageni wenyewe wengine ni watoto wadogo Sana kufanya haya waliyoyafanya .Ndio ivyo uku kwetu wamekamatwa wakenya wanaongea kikenya hapo walikuwa wame jikusanya kuchoma ofisi wakadakwa kama kuku wanakula kazi now
Napitia wakati mgumu sana kwa niliyoyaona. Maiti za vijana wadogo wasio na hatia, tumbo linaniuma sana… Mimi ni mama, naumia mno!Da Niffer please andika kitu tujue hali yako mioyo yetu itulie.
Ni fujo ndio zimefanyika ngoja tuanze kupiga kelele vyakula vitakapo panda beiDah,
Kuna mmoja kachomewa nyumba kisa imebandikwa bango la chama
Ni mbaya sana walisambazwa kijinga martha kalua ana husika kwa hili sisi tangu tumeingia hatujatoka up now na haijulikan tuna toka lini hali mbayaOf course itakuwa ngumu kuiaminisha jamii kuwa wengi wa wafanya matukio walikuwa wageni ila Mimi nilikuwa site na Sasa Niko site ukweli ni kuwa wageni ni wengi kuliko wenyeji ila kinachoniuma zaidi wageni wenyewe wengine ni watoto wadogo Sana kufanya haya waliyoyafanya .
Naongelea Mbeya
Kaka kutoka haijulikani ila nadhani itatuchukua mpaka labda juma kingine ,kile kibibi nadhani kinahusika moja kwa moja lakini jamaa zetu wa khaki wamechekesha Sana tena Sana wanapigwa Kama vile CCP MOSHI walienda kutembea hapo bado hawajanyanganywa silaha ila kaka watu wa Tunduma nawaheshimu Sana wale sio watz aisee .Ni mbaya sana walisambazwa kijinga martha kalua ana husika kwa hili sisi tangu tumeingia hatujatoka up now na haijulikan tuna toka lini hali mbaya
Pia polisi waji tafakari kuajiri raia askar una pokonywa siraa na raia kizembe kabisa
Tulikua na imani nao sana aisee,jeshi mnawapigia simu kuna watu wanauliwa huku wanakuja kesho yake.. wa Tanzania we are on our own tujipange!Hakuna mtu anaipenda CCM.
Tumesalitiwa na walinzi wetu
Una fikiri watz ukiaambia ivyo wata kuelewa wataona una simama na serikali il ndio ukweliKaka kutoka haijulikani ila nadhani itatuchukua mpaka labda juma kingine ,kile kibibi nadhani kinahusika moja kwa moja lakini jamaa zetu wa khaki wamechekesha Sana tena Sana wanapigwa Kama vile CCP MOSHI walienda kutembea hapo bado hawajanyanganywa silaha ila kaka watu wa Tunduma nawaheshimu Sana wale sio watz aisee .
Iko hiviTulikua na imani nao sana aisee,jeshi mnawapigia simu kuna watu wanauliwa huku wanakuja kesho yake.. wa Tanzania we are on our own tujipange!