DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Tafsiri ya umasikini ni laana. Yaani nimeangalia Familiya za kibongo watoto wa kike ndo wanaleta umasikini yaani mtu anazalia kwao bila hata Aibu
Yaani wazazi wamekulea Kwa shida bado unashindwa kuolewa unaishia kuzalia kwenu huku baba wa mtoto hachangii chochote
Unazaa mtoto then hujui nani atamtunza na kumuhudumia
Mtu anasema mtoto atamsaidia baadae ni upuuzi wewe umeshindwa kutoboa Sasa huyo mtoto wako hatatoboa vipi???