DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kwani hizo mimba wanajipa wenyewe? Jitahidi ku-balance uzi wako ni wakitoto sanaaTafsiri ya umasikini ni laana
Yaani nimeangalia Familiya za kibongo watoto wa kike ndo wanaleta umasikini yaani mtu anazalia kwao bila hata Aibu
Yaani wazazi wamekulea Kwa shida bado unashindwa kuolewa unaishia kuzalia kwenu huku baba wa mtoto hachangii chochote
Unazaa mtoto then hujui nani atamtunza na kumuhudumia
Mtu anasema mtoto atamsaidia baadae ni upuuzi wewe umeshindwa kutoboa Sasa huyo mtoto wako hatatoboa vipi???
Vijana wanaokimbia mimba ndio janga la kitaifa kabisa, vijana was siku hizi hawako tayari kuyakabili majukumu halafu Bado wanataka waheshimike na kutambulika kama wanaume.Tafsiri ya umasikini ni laana
Yaani nimeangalia Familiya za kibongo watoto wa kike ndo wanaleta umasikini yaani mtu anazalia kwao bila hata Aibu
Yaani wazazi wamekulea Kwa shida bado unashindwa kuolewa unaishia kuzalia kwenu huku baba wa mtoto hachangii chochote
Unazaa mtoto then hujui nani atamtunza na kumuhudumia
Mtu anasema mtoto atamsaidia baadae ni upuuzi wewe umeshindwa kutoboa Sasa huyo mtoto wako hatatoboa vipi???
Wanawake wanaangalia pesa na gari wanaamini wakibeba mimba mwanaume hashindwi kuhudumia mtoto.Hili swala la kukimbia mimba mimi kwakweli kila siku nitaendelea kuwalaumu wanawake japo wanaume tunakosea sana
We mwanamke ndio mwenye mwili wako we ndio mbebaji unaruhusu vipi kuzaa na mtu haelewiki hata dalili huoni achana na kueleweka hata kama anaeleweka unaruhusu vipi kubeba mimba kabla ya kuolewa
Hujui siku zako? ,p2 madukani hamna ? Kama jamaa hataki kutumia kinga goma au beba wewe kwenye pochi akisema hana mpe
Mtulie hali ya kiuchumi si rafiki..Kwahiyo?
🤣🤣🤣Mtulie hali ya kiuchumi si rafiki..
Hiyo kitu kutokea huwa ni nadra mkuu.Kwa hiyo mnataka hizo mimba ziwe zinatolewa au, maana kuna mda kondomu zinapasuka na p2 mda mwingine hazifanyi kazi