Hawa watoto wametufungaje kwa mfano?

Yoranda

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2020
Posts
341
Reaction score
338
Kocha OGS alikuwa na sabb gani kumtoa Will, Ole ameniudhi sana.

Katimu kakuongezea kujaza point unakaacha kana tupigaje ??

Sasa!! Kwa nn ole amekaa tu anaangalia uwanjani, ina maana haoni failure akaswirtch game kubadili mfumo, move nk

Si Bora angeenda kulala tu.?!!
 
Amejiunga na glazer kutuwangia
 
Halafu ukitoka hapo unaenda kuwadharau mabingwa wa dunia, nakwambia hiviii nenda katafute timu ya kuifunga klabu bingwa ya dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…