Yoranda
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 341
- 338
Kocha OGS alikuwa na sabb gani kumtoa Will, Ole ameniudhi sana.
Katimu kakuongezea kujaza point unakaacha kana tupigaje ??
Sasa!! Kwa nn ole amekaa tu anaangalia uwanjani, ina maana haoni failure akaswirtch game kubadili mfumo, move nk
Si Bora angeenda kulala tu.?!!