Hawa watu sasa wamekubali kuwa Corona imeisha?

Wapi pana ufichaji wa takwimu? Tanzania?

Suala la takwimu lina utata sehemu nyingi tu.

Kuanzia China, Marekani, Tanzania, na kwingineko.

Uingereza majuzi wamesitisha kutoa takwimu kwa sababu ya huo utata.

Takwimu za Marekani nazo zinatia shaka sana.

Za China ndo kabisa...

Bottomline, Tanzania haijaathirika kivile.

Hata Marekani nahisi takwimu zao zimejaa siasa kwa sababu huu ni mwaka wa uchaguzi na baadhi ya watu hawampendi Trump na hivyo kutumia takwimu mbaya ili kumfanya apoteze wafuasi wake.

Corona Marekani itaisha tarehe 3 Novemba, win or lose...
 
Unajuaje Tanzania haijaathirika kivile wakati hakuna data?

"Kuathirika kivile" ni nini?

Na kama haijaathirika kivile, unajuaje haitaathirika kivile?
 
Unajuaje Tanzania haijaathirika kivile wakati hakuna data?

"Kuathirika kivile" ni nini?

Na kama haijaathirika kivile, unajuaje haitaathirika kivile?

In the digital age we live in now it’s hard to conceal anything that has a severe negative impact on the masses.

If the situation was that bad, we would have seen it.

We’d have seen hospitals overwhelmed.

There would be death all over the place especially in the slums of Tandale, Magomeni, Manzese, etc.

Evidence of devastation wouldn’t have been hard to find as evidence by the article you brought the other day.

Jana nilikuwa naangalia BBC. Balozi wa China alikuwa ndo mgeni wao.

Wakambana kuhusu wale Uighurs. Kuna videotape imevuja kuhusu mistreatment yao at the hands of the Chinese dictatorship.

Licha ya kwamba hakuna uhuru wa habari huko China, hiyo videotape ime leak.

Tanzania siyo kama China. Kama kweli hali ingekuwa mbaya sana basi ingejulikana tu, thanks to citizen journalists...

 
Why does the impact need to be severe for action and caution to be needed?

If impact is not severe, but the virus will kill you, as an individual, is caution warranted?
 

Hoja si kufichwa kwa takwimu. Ndiyo maana katika kurejea takwimu za John Hopkins nimekupa ni nchi nne tu dunia nzima ambazo zilikuwa angalau na ujasiri wa kuweka data mpya za vifo katika kipindi kile. Achilia mbali suala la u sahihi wa data hizo ambalo nalo ni jambo jingine.

Hoja ni kuwa unadadavua namba zipi wakati dunia yote imejikita kwenye data za uongo ambapo sisi ndiyo baba lao?

Kwa maana nyingine dadavuzi zako hapa chini hazisimami na mithili ya gunia tupu.

Yaani kuwa udadavuzi huu ni garbage kwani zimepikwa tokea jalalani:

 
We vipi
Corona kutokuwepo sasa haimaanishi kipindi kile haikuwepo..
Halafu acheni kufanya kama Afrika nzima Magufuli peke ake hakuweka lockdown..
Nitajie nchi nyingine zaidi ya Kenya, Uganda, Rwanda, South Africa na Nigeria zilizokuwa na lockdown.
Mocambique, mimi nikiwa ndani ya inchi hiyo.
Mpaka leo Nyusi anaongeza muda wa lock down tu.
Natamani hata ningekua nchini kwangu Tanzania, lakini ndio hivyo tena mipaka imefungwa nasijui lini atafungua.
 
Walituweza kwenye HIV, ila kwenye Covid 19 wamechemka.
 
Mocambique, mimi nikiwa ndani ya inchi hiyo.
Mpaka leo Nyusi anaongeza muda wa lock down tu.
Natamani hata ningekua nchini kwangu Tanzania, lakini ndio hivyo tena mipaka imefungwa nasijui lini atafungua.
The fact is nchi ambazo hazijaweka lockdown Africa ni nyingi kuliko zilizoweka
 
Corona IPO lkn haiuwi. Hata jirani zetu IPO lkn haiuwi. Sasa hapa kwetu taarifa rasmi zilizuiwa kutangazwa.

Kutotangazwa na kutokuwapo ni vitu viwili tofauti.

Niseme tu ndjia ya JPM ya kuwatoazwatu hofu ni njia bora kuliko ile inayopelekea watu kuwa na hofu.

Muhimu chain ya tangawizi na limau ni muhimu.
 
Why does the impact need to be severe for action and caution to be needed?

Action was taken and caution was heeded.

If impact is not severe, but the virus will kill you, as an individual, is caution warranted?
Regardless, we should always be cautious anyway, for, life is full of dangers and risks.
 
Action was taken and caution was heeded.


Regardless, we should always be cautious anyway, for, life is full of dangers and risks.
Do you. I will do me.

In the words of Bob Marley "... every man has got the right to decide his, own destiny..."

In the words of Nas "sooner or later we will all see who the prophet is".

Just don't bring the cooties by me.
 
Corona ipo ya kutosha hususani hapo Dsm wagonjwa wanafia majumbani Hosptal ndogo ndogo na hata wakifa ndugu hawasemi ni corona huficha siri kwa hofu ya kutengwa na jamii
 
Umejuaje wangekuwa hai?
Corona ipo ya kutosha kama ulikuwa hujui anza kujua sasa kuwa corona ipo haijaisha kama uliona unalishwa matango pori ni wewe peke yako wengine wanajua corona ipo
 
Toa takwimu acha kuiga mataifa mengine lete takwimu watu wanataka takwimu za Tanzania ni kwa nini mnazificha? Acha visingizio visivyo na mashiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…