Hawa watu sasa wamekubali kuwa Corona imeisha?

Nipo ndani mkuu,nimetuma proposal ya kufungua ofisi tarehe 6 August wenye shirika wanasema tuendelee kutelework.nipo ndani na mgeni yeyote anaenitembelea home anaishia getini
Sawa endelea kubaki ndani hadi wagonjwa wakibaki 0 duniani mkuu
 
Mchague Membe iki awe faida kwa nchi yetu
Hivi siku ile pale Ikulu CDF alisema yeye na IGP walikuwa wanataka kwenda kutangaza nia kwa chama gani kabla ya kuamua kuzingatia ushauri wa Magu?Nchi iwe na viongozi wa aina hii then utegemee jipya?
 
Hivi siku ile pale CDF alisema yeye na IGP walikuwa wanataka kwenda kutangaza nia kwa chama gani kabla ya kuamua kuzingatia ushauri wa Magu?Nchi iwe na viongozi wa aina hii then utegemee jipya?
Ndio maana nakwambia mchague Membe mkuu!
 

1. Naona umekwepa ombi langu la kutuwekea idadi za vifo ambavyo havihusiani na COVID.

2. Idadi kubwa ya wanaodaiwa kuwa na COVID wanapona tu wenyewe na wala hawahitaji tiba yoyote ile. COVID haina tiba.

3. Hebu tuwekee idadi ya watu waliokufa kutokana na hiyo COVID na ambao wamepona/ ambao haikuwadhuru ili tuweze kukokotoa ki asilimia ili tuweze kujua survival rate yake na mortality rate yake.

4. Kuzidisha idadi ya maambukizi ya COVID ili tu kupata hela zaidi, ni ulaghai.

Haya nasubiri utupatie hizo takwimu....
 
Sasa hapa Tz hata hiyo isiyo ya kuzidisha hakuna,tunaambiwa corona iliua watu 21 tu baada ya hapo rais kaiambia isiue tena na yenyewe ikatii
 
Mimi sipo US. Nipo Ikungulyabashashi.

Huku nilipo hakuna anayeijua korona.

Tunadunda kama kawaida.

View attachment 1511218
Kwa sababu tumeongozwa na Magu kujitoa ufahamu.hata hivyo my point was hata Kama watu wanakufa bila serikali kutoa takwimu zinazokusanywa kutoka facilities za afya ni ngumu kwa mtu kujua wangapi wanakufa kwa corona na wamefia wapi mbaya zaidi imeruhusu tuzikane wenyewe ili tuambukizane vizuri
 
Corona ipo kwa wingi hapo jijini Dsm, Dodoma, Arusha na Mwanza, Moshi, Mbeya kidogo lakini corona ipo Tanzania haijakwisha inaendelea kuua watu kwa siri na wengi hawasemi kuwa ni corona hupakazia magonjwa mengi kuepuka kutengwa na jamii.
Mbona hata humu jf hawaanzishi hata nyuzi siku hizi.Au wakisema na humu napo watatengwa! We jamaa vipi!
 
Mortality rate of COVID-19 is around 1-2 %.More than 80% patients recover spontaneously.

If the total population of USA is 382 million and mortality is 1% how many people will die in US?

Lakini hoja yako ya msingi ni nini? unataka nchi zingine pia zipuuzie huu ugonjwa ama?Do you think that will be fair to citizens of those countries?

Unazungumzia uongezaji wa takwimu.Je nchi zingine zenye vifo vingi nazo zimeghushi takwimu?? Je unadhani wamarekani ni wajinga kiasi hicho washindwe ata kugundua takwimu za kughushi?
 
Tofauti ya madhara ya Corona kati ya nchi zilizochukua hatua na ambazo hazikuchukua hatua haiwezi kufafanuliwa au kutolewa maelezo kitaalam.
Inawezekana sana.

Usiwaambie waChina kwamba "utaalam" walioutumia haukufanya kazi.
Rwanda, na hata Uganda ni nchi tusizotofautiana nao, wamefuata taratibu na kinaeleweka walichofanya.

Ndio, kuna mengi yasiyofahamika kwa sasa, hasa kuhusu tofauti ya vifo vingi sehemu nyingine na sehemu nyingine vifo vikawa pungufu. Hatujui sababu.

Lakini katika kuzuia kuenea kwa ugonjwa katika jamamii, utaalam upo sana.
 
Mortality rate of COVID-19 is around 1-2 %.More than 80% patients recover spontaneously.

Twende kisomi zaidi. Naomba rejea ya hizo takwimu zako ili nijue kuwa hujazitunga mwenyewe, halafu tutaendelea...
 

Unapendekeza kipi kifanyike mkuu?
 
Unaongea na COVID-19 specialist mzee baba......
Sijakuuliza u ‘specialist’ wako.

Nimekuomba rejea ya hizo takwimu zako.

Ni kwamba hukuelewa ulichokisoma au huna nilichokuomba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…