KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
Kufuata taratibu zinazofahamika katika mambo kama haya.Unapendekeza kipi kifanyike mkuu?
Wataalam wapo. Acha wafanye kazi zao wanavyojua inastahili kufanywa. Wasikilizwe kwa makini wanapotoa ushauri
Mambo kama haya sio ya mtu mmoja kuamka na kuamua anavyojisikia yeye.