Hawa watu wa Reception Lodge muwe mnawapima akili. Wengine ni Wendawazimu

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
" imagine Imenichukua wiki 3 niweze kupanga hizi games mbili za leo mpaka zika tick ilikuwa ngumu sana. Demu mmoja akiwa free mwingine yupo tight. Yule akiwa free huyu yupo period..

Hatimaye leo zote zikatick. Nikapanga ratiba vizuri ili match zisiingiliane sababu utatumika uwanja mmoja. Imagine usawa huu unalipia room tsh 50,000. Inabidi uzichange vyema karata zako.

Basi ratiba ilikuwa demu wa kwanza kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa9 na mwingine saa 9 mpaka saa 4 usiku.

Wa kwanza kaja tumecheza game fresh saa nane na nusu nikamwambia tuondoke sababu nlimwambia mapema saa tisa nina meeting somewhere. So nikatoka naye nikampeleka kituoni nikamwacha mi nikakanyaga mafuta naelekea opposite direction.

Nikazunguka nikarud room. Wale wajinga nliwakuta wanatandika walijua ndo nimeondoka kimoja wauze tena room. Kuniona wakashtuka. Nikawaambia wamalizie tu. Kweli walipomaliza nikavua nguo kusubiria game ya pili.

Baada kama ya dk 40 demu anasema yu getini.nikamwambia aje moja kwa moja room number hiyo... Baada ya dk 8 huyu hapa. Kaingia akaanza kukagua room na kukagua choo. Amevimba anahema kama ng'ombe namuuliza nini kimekusibu. Ananijibu "Huyo malaya wako amekaa muda gani humu? Condom mlizotumia zi wapi? Umemgonga kavu mbwa wewe?"

Baada ya kuhoji ndo anasema pale reception alipouliza room number hiyo mhudumu akasema.... "Heeeh ulienda kubadili nguo? Hizi unaonekana mnene zaidi."

Yule mhudumu mshenzi sana...akawa ameharibu picha. Imagine nimetumia masaa ma 3 na nusu kumtuliza huyu binti maana nlikataa kata kata asiondoke. Nimelia sana kumbembeleza na kumtaka asiache shetani aharibu uhusiano wetu kifala namna ile. Nikamwambia wale wahudumu walidhani nipo peke yangu wakataka nichukue mmoja wapo so ni kama wanatumika tu kutaka kuharibu.

Hatimaye amekuja kukubali so late muda huu nimemtoa akatoka akapanda gari lake nami nikaongozana naye nikaenda zunguka mbele nikarudi pale reception yule mbwa, mshenzi, alkashupa nimenchana sana na nlitaka mtandika vibao kabisa akakimbilia ndani. Hana akili halafu anapewa sehemu nyeti kama reception."

Nime icopy na kupaste toka kwa jamaa yangu ndiye msimuliaji wa kisa hiki.
 
Ahh.. bora wewe mimi muhudumu alinifanya nising'ate eti anakaniambia mbele ya sijakuona kitambo demu sikuhizi tunachakula kama vipi unaweza agiza.. [emoji23] demu akatulia tulivyofika room akaniambia aisee kumbe ndo tabia yako [emoji17] hung'ati kitu hapa [emoji23]

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Ahh.. bora wewe mimi muhudumu alinifanya nising'ate eti anakaniambia mbele ya sijakuona kitambo demu sikuhizi tunachakula kama vipi unaweza agiza.. [emoji23] demu akatulia tulivyofika room akaniambia aisee kumbe ndo tabia yako [emoji17] hung'ati kitu hapa [emoji23]

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile ap
So ukaondoka mkavu? Hukupata unyevu?
 
Hs
IMG-20221101-WA0000.jpg
JamiiForums-188530487_698x439.jpg
 
Back
Top Bottom