Kuna siku niko pisi moja kali sana, nimeenda nayo chimbo moja la kishua sana. Ile nafika tu resepsheni, muhudumu kaanza kuniwashia moto, bora umejileta mwenyewe, wewe si ndio ulichafua mashuka siku ile.
Leo utalipa gharama za mashuka mapya. Kwa kweli mimi ndio ilikuwa mara ya kwanza kwenda chimbo, kwa kweli nilifedheheshwa mno