Hawa watu wameprove kuwa mdomo ni zaidi ya academic certificates

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
1. Haji Manara
2. Mch. Rich Bilionea
3. Mwijaku
4. Baba levo
5. Mandonga
6. Steve Nyerere

Mtu anayejua kuongea hata kama ni pumba ana nafasi nzuri ya kufanikiwa kuliko wale graduates wa vyuo vya kati na vikuu.
 
Hata bungeni wenye mdomo mrefu ndio huogopwa ,Kibajaji,musukuma gwajima wote wawili,sanga siku hizi hawashikiki japo majimboni wako hoi

Zamani kulikuwa na sugu,msigwa,kafulila,sugu, ana kilango,mkosamali lisu walikuwa na kelele nyingi ila majimboni wako hoi wabongo tunapenda maneno maneno tu

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanafanya kazi sawa na aliyokuwa anafanya h baba ila yeye ashajulikana hali yake. Na hao muda wao upo.
 
Hata bungeni wenye mdomo mrefu ndio huogopwa ,Kibajaji,musukuma gwajima wote wawili,sanga siku hizi hawashikiki japo majimboni wako hoi

Zamani kulikuwa na sugu,msigwa,kafulila,sugu, ana kilango,mkosamali lisu walikuwa na kelele nyingi ila majimboni wako hoi wabongo tunapenda maneno maneno tu

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Majimboni kuwa hoi sio kosa lao maana ni ngumu kutumia mishahara yao kujenga mabarabara na mshule ,na wala hawakusanyi kodi
 
1. Haji Manara
2. Mch. Rich Bilionea
3. Mwijaku
4. Baba levo
5. Mandonga
6. Steve Nyerere

Mtu anayejua kuongea hata kama ni pumba ana nafasi nzuri ya kufanikiwa kuliko wale graduates wa vyuo vya kati na vikuu.
Unafikiri Mwijaku na hao wenzake wataendelea kutoboa kwa makelele yao hata miaka 10 ijayo

Hao wanatakiwa nafasi wanazopata sasa hivi wazitumie vizuri hasa kufanya uwekezaji

Gamba muda wowote linakutoa kimaisha
 
Back
Top Bottom