Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania ndio nchi ambayo ufala unapenda na kushabikiwa. Angalia hata miziki ya bongo fleva ni ushetani mtu lakini ndio unaoshabikiwa na kuchezwa kila mahali.Hii nafikiri inatokea Tanzania tu, ambapo mjinga ndio anaweza kusikilizwa na jamii na hata kuaminisha watu ni mwerevu...
MJINGA NI MJINGA TU...
Tutegeme zerooo zaidiTanzania ndio nchi ambayo ufala unapenda na kushabikiwa. Angalia hata miziki ya bongo fleva ni ushetani mtu lakini ndio unaoshabikiwa na kuchezwa kila mahali.
Yani Tanzania ukiwa mwehu mwehu ndio watu wanapenda.
Unawalaumu wao! Kwani wao ndio wanakusanya kodi na kupanga zitumike vipi!?Hata bungeni wenye mdomo mrefu ndio huogopwa ,Kibajaji,musukuma gwajima wote wawili,sanga siku hizi hawashikiki japo majimboni wako hoi
Zamani kulikuwa na sugu,msigwa,kafulila,sugu, ana kilango,mkosamali lisu walikuwa na kelele nyingi ila majimboni wako hoi wabongo tunapenda maneno maneno tu
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
- tupe ukweli brother Mshana JrIla hawana heshima na hayo mafanikio yao yanakuzwa kuliko uhalisia ulivyo
-tatizo ni muundo wa serikali, tungekuwa na muundo wa serikali za Mikoa/majimbo yenye Mamlaka kamili, ingesaidia kwa kiwango Fulani.Unawalaumu wao! Kwani wao ndio wanakusanya kodi na kupanga zitumike vipi!?
Cha ajabu Kikwete kawa Rais miaka 10, Chalinze wanatafuta maji huku maji hayo yakipita Kuelekea Dsm.
Sijui Mandonga na Baba Levo lakini hao wengine mbona wana elimu zao tu1. Haji Manara
2. Mch. Rich Bilionea
3. Mwijaku
4. Baba levo
5. Mandonga
6. Steve Nyerere
Mtu anayejua kuongea hata kama ni pumba ana nafasi nzuri ya kufanikiwa kuliko wale graduates wa vyuo vya kati na vikuu.
WaropokajiKuna gape kubwa baina ya kujua kuongea na kupiga kelele.
Hao uliowataja nawaweka kwenye kundi la wapiga kelele.
Mropokaji ni mtu anayeongea hovyo bila kuushirikisha ubongo wake.Waropokaji
Kutegemea Gamba kutoka kimaisha ni kufeli Gamba liko limited na muda kuna umri ukishafika unakuwa unatoka kwenye mfumo wa ajira ndipo maujanja yako(personal skills) zitakazokuweka mjiniUnafikiri Mwijaku na hao wenzake wataendelea kutoboa kwa makelele yao hata miaka 10 ijayo
Hao wanatakiwa nafasi wanazopata sasa hivi wazitumie vizuri hasa kufanya uwekezaji
Gamba muda wowote linakutoa kimaisha
Lakini kelele zao zimewafanya waweze kuishi mjini na sio kuishi tu bali kuishi maisha ambayo ni matamanio ya vijana wengiKuna gape kubwa baina ya kujua kuongea na kupiga kelele.
Hao uliowataja nawaweka kwenye kundi la wapiga kelele.
Sawa But jamii inafaidika nini kupitia wao? vijana wanajifundisha nini kupitia hao watu? kuna impact gani itakayojengeka hasa kwa hawa vijana wanaowafuatilia hao "Machawa?"Lakini kelele zao zimewafanya waweze kuishi mjini na sio kuishi tu bali kuishi maisha ambayo ni matamanio ya vijana wengi
Acha mbwembwe,graduates hatuna ga mbambamba!!hatuongei kama chiriku,tunaacha matokeo ya kazi zetu zionekane,1. Haji Manara
2. Mch. Rich Bilionea
3. Mwijaku
4. Baba levo
5. Mandonga
6. Steve Nyerere
Mtu anayejua kuongea hata kama ni pumba ana nafasi nzuri ya kufanikiwa kuliko wale graduates wa vyuo vya kati na vikuu.