Hawa watu wameprove kuwa mdomo ni zaidi ya academic certificates

Hawa watu wameprove kuwa mdomo ni zaidi ya academic certificates

Sawa But jamii inafaidika nini kupitia wao? vijana wanajifundisha nini kupitia hao watu? kuna impact gani itakayojengeka hasa kwa hawa vijana wanaowafuatilia hao "Machawa?"
Kwani jamii imefaidika nini na academic certificates walizonazo graduates wengi?
 
Hii nafikiri inatokea Tanzania tu, ambapo mjinga ndio anaweza kusikilizwa na jamii na hata kuaminisha watu ni mwerevu...

MJINGA NI MJINGA TU...
Watu mnajua kujidharau kweli!... Hicho unachokiona Tanzania basi ujue huko kwingine ni mara mia zaidi

Namaanisha hivi kama unaona huku kwetu mjinga na mpumbavu ndo anasikilizwa na kuonekana ni mwerevu basi hata huko kwingine ni vivyohivyo tena labda wao zaidi ya kwetu (hasa Marekani na Ulaya ambapo mnapenda kuchukulia mifano)

Chukulia mifano katika nyanja zozote utakazo halafu angalia watu wanaosikilizwa, wanaokubalika na kuheshimika sana duniani katika nyanja husika. Je ukiangalia hao watu walistahiki?
 
1. Haji Manara
2. Mch. Rich Bilionea
3. Mwijaku
4. Baba levo
5. Mandonga
6. Steve Nyerere

Mtu anayejua kuongea hata kama ni pumba ana nafasi nzuri ya kufanikiwa kuliko wale graduates wa vyuo vya kati na vikuu.
Tanzania watu wengi ni waoga , hawajiamin , ukijiamin ukaongea Tanzania unaula Ila sio nchi za watu wanaojielewa
 
1. Haji Manara
2. Mch. Rich Bilionea
3. Mwijaku
4. Baba levo
5. Mandonga
6. Steve Nyerere

Mtu anayejua kuongea hata kama ni pumba ana nafasi nzuri ya kufanikiwa kuliko wale graduates wa vyuo vya kati na vikuu.
Ila Mandonga unamuona bana, yule mtu kazi kweli.
 
Leo pale Bungeni, nilimuona yule jamaa alikua mlinzi wa Magufuli, sasa hivi anamlinda Zungu!

Jamaa yuko humble sana! Ingawa kama vile anavuta mguu wakushoto! Sijui una shida gani

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kwa Tanzania tyuuh lakini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1. Haji Manara
2. Mch. Rich Bilionea
3. Mwijaku
4. Baba levo
5. Mandonga
6. Steve Nyerere

Mtu anayejua kuongea hata kama ni pumba ana nafasi nzuri ya kufanikiwa kuliko wale graduates wa vyuo vya kati na vikuu.
Mr. Pimbi
 
1. Haji Manara
2. Mch. Rich Bilionea
3. Mwijaku
4. Baba levo
5. Mandonga
6. Steve Nyerere

Mtu anayejua kuongea hata kama ni pumba ana nafasi nzuri ya kufanikiwa kuliko wale graduates wa vyuo vya kati na vikuu.
Tuacheni graduates tupumzike wazee, maisha ni kubet tu unaweza ukasoma na ukafanikiwa au usifanikiwe na unaweza ukiwa hustler na ukafanikiwa au usifanikiwe waongeaji wenyewe si hawa chawa wa mama, madalali, wamachinga tunaishi nao mitaani hali zao tunazijua.. mo dewji, benjamin fernadez n.k kabla ya mafanikio yao walikua graduates wangekomaa na uchawa wangefika walipofika leo?. Katika hao waongeaji wewe umechukua sample ya wachache tu ambao wanajulikana ila ukichukua kundi la waongeaji na wasomi utakuta percent kubwa zaidi ya ambao hawajafanikiwa ipo upande wa waongeaji.
 
Back
Top Bottom