BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
- Thread starter
-
- #41
Kwani jamii imefaidika nini na academic certificates walizonazo graduates wengi?Sawa But jamii inafaidika nini kupitia wao? vijana wanajifundisha nini kupitia hao watu? kuna impact gani itakayojengeka hasa kwa hawa vijana wanaowafuatilia hao "Machawa?"
Jibu kwanza nilicho kuuliza.Kwani jamii imefaidika nini na academic certificates walizonazo graduates wengi?
Watu mnajua kujidharau kweli!... Hicho unachokiona Tanzania basi ujue huko kwingine ni mara mia zaidiHii nafikiri inatokea Tanzania tu, ambapo mjinga ndio anaweza kusikilizwa na jamii na hata kuaminisha watu ni mwerevu...
MJINGA NI MJINGA TU...
Tanzania watu wengi ni waoga , hawajiamin , ukijiamin ukaongea Tanzania unaula Ila sio nchi za watu wanaojielewa1. Haji Manara
2. Mch. Rich Bilionea
3. Mwijaku
4. Baba levo
5. Mandonga
6. Steve Nyerere
Mtu anayejua kuongea hata kama ni pumba ana nafasi nzuri ya kufanikiwa kuliko wale graduates wa vyuo vya kati na vikuu.
Wapo wengi waliotoka kwa gambaKutegemea Gamba kutoka kimaisha ni kufeli Gamba liko limited na muda kuna umri ukishafika unakuwa unatoka kwenye mfumo wa ajira ndipo maujanja yako(personal skills) zitakazokuweka mjini
Ukijibiwa ni tag mkuuSawa But jamii inafaidika nini kupitia wao? vijana wanajifundisha nini kupitia hao watu? kuna impact gani itakayojengeka hasa kwa hawa vijana wanaowafuatilia hao "Machawa?"
Ila Mandonga unamuona bana, yule mtu kazi kweli.1. Haji Manara
2. Mch. Rich Bilionea
3. Mwijaku
4. Baba levo
5. Mandonga
6. Steve Nyerere
Mtu anayejua kuongea hata kama ni pumba ana nafasi nzuri ya kufanikiwa kuliko wale graduates wa vyuo vya kati na vikuu.
Hawa ndo kina nani huko dar?2. Mch. Rich Bilionea
3. Mwijaku
Mr. Pimbi1. Haji Manara
2. Mch. Rich Bilionea
3. Mwijaku
4. Baba levo
5. Mandonga
6. Steve Nyerere
Mtu anayejua kuongea hata kama ni pumba ana nafasi nzuri ya kufanikiwa kuliko wale graduates wa vyuo vya kati na vikuu.
PLO Lumumba anasifiwa hapa tz lakini kwao Kenya wanamwona kama baba Levo tu.Hao sio wanajua kuongea, wanajua kupiga kelele au kuongea kwa makelele. Wanaojua kuongea ni Kama kina Prof. PLO Lumumba na wengine wenye Logic
Tuacheni graduates tupumzike wazee, maisha ni kubet tu unaweza ukasoma na ukafanikiwa au usifanikiwe na unaweza ukiwa hustler na ukafanikiwa au usifanikiwe waongeaji wenyewe si hawa chawa wa mama, madalali, wamachinga tunaishi nao mitaani hali zao tunazijua.. mo dewji, benjamin fernadez n.k kabla ya mafanikio yao walikua graduates wangekomaa na uchawa wangefika walipofika leo?. Katika hao waongeaji wewe umechukua sample ya wachache tu ambao wanajulikana ila ukichukua kundi la waongeaji na wasomi utakuta percent kubwa zaidi ya ambao hawajafanikiwa ipo upande wa waongeaji.1. Haji Manara
2. Mch. Rich Bilionea
3. Mwijaku
4. Baba levo
5. Mandonga
6. Steve Nyerere
Mtu anayejua kuongea hata kama ni pumba ana nafasi nzuri ya kufanikiwa kuliko wale graduates wa vyuo vya kati na vikuu.