comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Hawa watu wenye afya ni wachache Sana, wengi wamekongoroka vibaya mno!
Leo kuna sehemu nimepita wanasema kuna msafara ulikua unangojewa upite, kwahyo Polisi wakawa wanaondoa bodaboda na magari yote yasipite barabarani, Yani barabara iwe nyeupe kabisa kusipite chochote eti kwakua kuna binadamu ANAPITA kwahyo Sisi KENGE tukae mbali na barabara Hadi binadamu apite!
Kuna bodaboda mmoja nadhani hakujua kua watu wamekatazwa wasipite , si akapita Bana, aisee polisi aliichapa na gongo refu Ile bodaboda bila kujali kama bodaboda kapakia mmama wawatu, huyo mama tulisikia tuu mlio, aaaaaaahhh! Bakora ya mgongo ilipenya aiiseee.
Ok turud kwenye point, Kwa hao Askari nilivyowasoma wote hapo road wamechoka vbaya mno! Yani kama hawali!
Yani kama ndio tunaingia road kama Nepal wale Mimi waje watano nawamudu mwenyewe, nahivi saiv ninavyojifua na mazoezi na kupiga chuma! Oyaaa! Kitawaka